Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau naomba msaada kuna mwenye key za youwave android maana nimeambiwa zinauzwa ila mshiko ndio tatizo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaribu hii browser ni nzuri sana
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Kwa sasa hivi natumia nokia asha 200 ni nzuri maana ni orijino halafu double line! Ila nataka kuibadilisha! Je ninunue simu ipi ambayo ni orijino but double line other than Nokia asha 200? NB...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi wa JF naomba mwenye link yaku download Mavis beacon au program yoyote inayoendana na hiyo aishushe mahali hapa. Shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Teknolojia mbili zinazotabiriwa kubadili ulimwengu ni nanotechnology na Uchapishaji wa 3D (3D Printing). Makala hii itazungumzia uchapishaji wa 3D. Wakati baadhi wa watabiri wamehusisha mapinduzi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Waungwana, Naomba msaada. Nimeupdate iphone yangu, 3Gs,ikakubali. Sasa kila nikijaribu kuactivate napata haya maneno kuwa 'Your iphone could not be activated because the activation server is...
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Wana JF Poleni na majukumu mbali mbali ya kujuzana mambo muhimu. Niende moja kwa moja kwenye ombi langu, nataka ku-copy picha yoyote toka yutube kwenda katika FLASH je nifanyeje? Naomba msaada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau heshima kwenu, naomba msaada, mwaka jana mwanzoni nilikuwa napata channel za South africa SABC1,2,3 & eTV local for free, baadaye nikawa sizipati tena, kuna fundi alikuja akasema nifunge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nahitaji mashine nzuri used ya photocopy kwaajili ya biashara je ni wapi kwa hapa dar naweza kupata? na ni aina gani ya mashine ambayo ni nzuri kwaajili ya biashara?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nimetengeneza Database yenye Tables kadhaa lakini nimekuwa nikiishia kwenye command hizi tuu kujifurahisha use mydatabase; show database; select *from table1; na nyinginezo lakini...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Uhakika hii si S3 wala sio Note i wala sio Note 2, Hii ni simu gani? Uhakika huu unatokana na mahala ilipo flashi ya kamera ya nyuma http://youtu.be/gfzom-RdrwI
1 Reactions
1 Replies
996 Views
Sisi katika Gajetek siasa si mchezo wetu, sisi na gajeti na gajeti na sisi. Lakini leo katika kucheza na gajeti zeetu tukaamua kufanya maongezi na wasaidizi wetu wa virtual wawili kuona kama...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu mwenyekujua bei za hizi simu nimevutiwa nazo huwa naona matangazo yao kwnye tv
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chanzo: Gajetek - Gajet na Teknolojia Twitter: @gajetek Baina ya miaka kumi na kumi na tano nyuma simu nzuri ilikuwa ni ile isiyojaa kwenye kiganja, yaani ndogo mno. Ukiwa na simu kubwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habar zenu wana jamvi naiman mko poa jamani mimi ninatatizo naomben mxada wenu nimetengeneza website kwaku2mia notepad bado cja host xaxa swali linakuja nitailinda vp website yang na hackers au...
0 Reactions
7 Replies
945 Views
Niko Mwanza.Mwenyekuwa na bodi ya hiyo LAPTOP tufanye biashara.Au kama unajuwa kuna sehemu zinapatikana unaweza kusaidia. CONT,+255763323534
0 Reactions
3 Replies
934 Views
12/03/2013 Dijit: App itakayobadili iPhone Yako Dijit si app mpya kwenye AppStore lakini ni app ambayo itaifanya iPhone, iPad au iPod Touch yako iwe ni zaidi ya simu. Dijit ni app ya rimoti...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Fuata maelekezo kwenye video hii
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Waungwana nahitaji kuwa programmer si kwa minajili ya kuajiliwa hapana kwan mm ni mwajiliwa pale MMP ila napenda tu huo ujuz. Nawezaje kuwa hvyo pasipo kupitia chuo? Kama kuna mtu anaweza kunipa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kuna tofauti gani kati ya hizi version! Window 8 RTM (release to manufacture) na hii final retail version kwa wale walio experience hii vitu? Coz forum nyingi nilizopitia wanasema ni the same but...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom