Wana jf, naomba msaada wenu nataka kutengeneza kakitabu kadogo ambako katatumia karatasi za a5 nitumie program gani na kwa vipi naomba ufafanuzi ingalau kidogo.
Wakuu najaribu kuunganisha line zangu hapa nifaidi ofa ya wajanja night ila zote zinakataa zinasema nimeshajiunga..nikijaribu kujiondoa ili nijiunge tena pia inagoma..nikiconnect wanafyeka hela...
wadau, nna mpango wa kuuza vits yangu na kununua hii gari
nimetokea kuipenda.
ningependa kujua prons na cons za hii kitu especially fuel consuption na maintenance cost.nimehamishwa, siko dar...
msaada wenu tafadhali, tablet yangu ni os ya android 4.0.3 ics, haina sehem ya sim card, nkiwa kwenye wireles inakubali vzuri ila nkiwa sehem ambayo haina wireless kila nkichomeka modem haikubali...
guys nimekutana na iso file moja kwa location mbili tofauti! location ya kwanza ina 1.9GB na location ya pili ina 2.5GB! Inawezekana ku compress iso? coz mawazo yangu nafikiri hii ya kwanza...
Habari
Kwa wale wataalamu wa software za "photo manipulation" kama GIMP,photoshop tuwe makini unapo edit kitu kwa ajili ya kutaka kumchafua mtu.
kinachosababisha ni mtu kuwa na haraka na kusahau...
naombeeni kujua ni window gani itanifaa katia pc yangu ya toshiba?
Ni kwa matumizi ya chuo tu kama kutumia internet na mambo mengine?
vipi kuhusu ubuntu ukilinganisha na windows nyingine?
China has opened the world's longest high speed train line. It runs nearly 1500 miles from Beijing in the north to Guangzhou in the south and reduces journey time from 22 hours to just 8 hours.
guys ni siku ya tatu now kila nikijiunga na wajanja 9t naambiwa nimeshajiunga na hii huduma nikifanya mambo mpunga unakatwa. inakuaje hii kitu kwa wale wazoefu na hii offer?
Kuna mtu niliwahi kumuona kapost kwamba anafunga dish. Tafadhali kama bado upo humu naomba unipe muongozo, gharama na channel ambazo nawezqa kuzipata. Au kama kuna ambaye anatumia naomba unipe...
Katika Games addictive, Simple na nzuri ambazo huitaji kudownload (just play online).. hizi ni baadhi:-
(First Person Shooter)
The Last Stand
Play The Last Stand 2, a free online game on...
Wadau nina flash aina ya AGFA photo 4GB ilikua inasoma vzr kwenye PC yangu ghafla haisomi tena ila nikiichomeka inaniambia 'ur device iz ready for use' lakini haionekani kwenye my computer! Msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.