katika pitapita zangu nikona hii
The table following shows the 33 bundles available from the four major cellphone data providers. Bundle = name from the provider; MB = megabytes of data provided...
Mimi ni mteja wa Vodacom na simu yangu ni Iphone 3gs.
Katika matumizi ya kawaida nikapata sms kutoka Vodacom inayoniambia ni follow link hiyo ili nifanye setting ya internet. Kila nikiclick...
wadau
kama swali linavyouliza hapo juu
nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu gharama za internet kuwa ghali lakini sikuwa
na jibu kwa wakati wote huo.
Kwani kuna tofauti gani ya gharama ya kupiga simu...
Hi All, Don't forget that Today 11th March, 2013 we are going to have our monthly Mobile Monday Dar es salaam event. The event venue is KINU Innovation Space and this month theme is ICT in...
Habari za leo wanaJF,
Ningependa kupewa somo ni jinsi gani ninaweza kuzuia au kulimit bandwidth ya computer moja au zaidi ya moja zilizoko kwenye wireless network ili niweze kubana matumizi...
Wadau wale wa i.t au kama una uji=zi na mambo ya kuedit videos,kupiga picha na kuzi photoshop na wale graphic designers there might be a chance to get a job cheki barua
Wakubwa nimedowlod piratebay b@rowser,then wakanambia nichuke na bitorrent kwaajil ya dowloading bt naclick dowload button,hadowload na baada kama sekund 0. 01,inaandka downlod completed.lakin...
wadau naomba mnisaidie jinsi ya ku copy pics fro camera to laptop...natumia window 7 laptop hp, camera ya samsung...nimejarbu kutumia usb cable picha hazionekani na nimetumia card reader bado...
Nitanunua na kutest internet ya TTCL Mobile nione ikoje.
Kilicho ni interest ni hizi bei zao mpya.
Wameweka matangazo kwenye redio na other media kuwa sasa unaweza kupata modem ya ttcl kwa under...
ama kweli nimeamini hamnaga cha bure wakuu..nina laini mbili nyekundu... Moja ya kudraw nyingine ya kutumia kama kwaida.. Mwezi ulopita nilinunua mda wa maongezi kimakosa badala ya kutoa pesa...
Nokia lumia n naboya yan cwez kusev track nayopenda as ringtone hamna hio option ko ringtone lzm ziwe zike milio zao za kuboa2 aaargh km kna anaejua jinc ya kueka tupia apa bas
kuna wakati mwingine firefox inakua ngumu kufanya kaz kwenye firefox kwa mfano huwez kuitumia kudownload yovube kwa sababu kadhaa, anyway hata iwe tatizo gani hii trick itafanya idm iweze...
nokia lumia ni series mpya ya simu za nokia ambazo zinatumia operating system ya windows phone. kwa sasa zipo zinazotumia windows phone 7.5 na nyengine zinatumia windows phone 8 ila kwa sasa...
Mnaikumbuka bolt browser? Browser iliyokua inaziwezesha hadi simu za mafungu kuangalia youtube? Sasa imerudi tena at this time sio bolt wenyewe walioirudisha bali ni hacking za proxies.
Kuna...
Opera Software ASA wametoa hiyo browser mpya kwa watumiaji wa simu za android. Iko katika beta version yaani iko katika majaribio. Sijaitumia kwa kuwa sina simu ya android lakini kwa maelezo ni...
Naombeni kujua tofauti dhidi ya Ipad NA Tablet
==========
By Millah
Kaka kwanza pole kwa majibu ya ajabu, labda somo la kwanza kuwa makini katika kuuliza maswali ukumbi huu, watu ni wakali mno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.