Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu wanaboard,nimepata software ya kuflash simu za Kichina ambayo ni GPDDragon Ver 2.13-www.MobileRdx.com,Binafsi kwenye pc yangu natumia Window7 Ultimate,ila kila nikijaribu kuinstall inadai...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Wakuu naomba unlocker software ya modem ya Huawei e173s-2. Nimejaribu kwa kutumia DC-Unlocker imegoma.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
07/03/2013 Huawei ni kampuni ya tatu kuuza simu nyingi aina ya smartphone katika robo ya mwisho ya mwaka 2012, mzungumzaji wa Huawei Technologies, Tatiana Debra alidai katika mahojiano na WSJ...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Niaje wakubwa naomba yeyote mwenye links za game kati ya hz- pes 2010, call of duty 2,fifa 2010,mafia 2 Au 1, na gta san andreas (FULL VERSION). iwe direct links au torrent vyote sawa. Nataka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sir, the situation is like this: I am using a USB to serial converter to be connected to Radio Base Station of GSM using a software called OMT after configuring the COM port on the software and...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie kwenye Nokia X2-01 kwenye menyu kuna software ya email sasa niki ifungua haifunguki lakini mwanzo ilikuwa inafunguka,Asanteni
0 Reactions
1 Replies
500 Views
NEW NOKIA AND SAMSUNG CABLE FINDER- ONLINE UPDATION NOKIA_FBUS_cable_finder_Setup_V1.3.0-www.MobileRdx.com.rar DEAR - GOOD NEWS, YOU CAN MAKE NOW YOUR OWN FBUS CABLE BY HELP OF THIS PIN...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
MOBILE PARTNER FOR - ZTE & HUAWEI MODEMS Dear friends, here now you can use your unlocked vodafone zte modems, or any zte manufactured or huawei modems, after unlocking, use this MOBILE PARTNER...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
wadau nina receiver yang ya gulf box remote yake iliharibka ikashndkana kutengenezeka, nimejaribu kutafuta remote maduka yote ya morogoro nimeikosa wanadai remote yake haipatikani. tatizo ni moja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari geeks, well nina collection ya hiyo game apo juu 4cd pack turkey language,ndo imenifanya nije kenu kuitangazia dau naiuza kwa 30 tu...still new ARUSHA only
0 Reactions
0 Replies
541 Views
habar team!
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Salama wazeiya! Naomba msaada wenu. Ntawezaje kupata / ku install programs kama whatsupp, viber, quote kwenye Htc Tattoo? nimejaribu sana ila nimeshindwa. Help pliz...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mwenye kujua anipe msaada wa kufanyia configuration Blackberry 8120 ili niweze pata internet kwa line ya Tigo,maana kila ninapojaribu kufungua internet inaniambia wi-fi not connected.
0 Reactions
1 Replies
793 Views
hivi hizi zinazo itwa "smartphones" mbona kama zina fanana fanana design, naona kinacho punguzwa au kuongezwa ni ukubwa wa screen na specification zake. and what happened to the physical...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi every1 im in Sud Africa,i am looking for an advice. I have a Samsung C3300 Champ the problem is that its mp3 volume is not so loud,what can i do increase its volume capacity?
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Samsung Galaxy SIV 4G Titanium Gray, Sapphire Black (color) Android OS, v4.2 (Jelly Bean) 5-Inch Screen Quad core processor Quad-core 2 GHz Cortex-A15 13 MP, autofocus, LED flash Camera 1.9 MP...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Wadau me modem yangu za huawei ya zantel haitaki kusoma netwk ya zantel ukiweka inagoma naambiwa ntumie line iliyo authorizd chaajabu nikiweka sim ya voda inaconnect tatizo inantaka niongeze hela...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Habari ndugu zangu wana jf,naomba msaada wenu simu yangu haifungui software ya email,asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WATUMIAJI wa kompyuta ambao hutumia haramia na bidhaa bandia za programu za kompyuta nchini kwa matumaini ya kuokoa fedha, huongeza nafasi ya kupata maambukizi ya virusi katika programu. Hayo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom