Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jaman wana JF natafuta projector,pls mwenye nayo ani pm. au kama anamfaham mtu ambaye anaiuza.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi members I have been experiencing internet problem,I use wireless internet at our office sometimes when browsing I get a message for failure to load web site pages(websites not found as if there...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wandugu, Pls assist jinsi ya kulink youtube na Gmail. Kuna some clips zinagoma kuplay na inanambia your account to youtube. Sasa ni jinsi gani naweza link? Natumia adroid
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba ushauri nini cha kufanya kwanza kabla ya kupeleka kwa fundi,nilichaji simu usiku ikiwa ON, asubuhi naiwasha haiwaki...nifanyeje?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello mates, I am getting an error on Windows XP Proffesional Service Pack 3 which pop ups every now and then. The pop up has a heading " 16 bit MS-DOS Subsytem" and then the words "The NTVDM CPU...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau naombeni msaada black berry yangu imegoma kufungua internet! Wanasema mpaka niweke izo setting na mi sina utaalamu nayo! Natumia line ya tigo!
0 Reactions
2 Replies
884 Views
wakuu msaada wa link ya kudownload any hack software maana nimejalibu helloOx nayo inaandika expired norton inakubali ila haiweki icon, mda ss kila nkipata application ya ukweli ni kiinstall...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa anaejua jinsi ya kuzuia msg za mnara wa simu,kila baada ya dakika kumi zinaingia si chini ya msg tatu kutoka vodacom. Napata shida kila wakati ni kudelete tu msg, Natumia TECNO N3. Help...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuu, naomba mkali wa java anielekeze jinsi ya kutengeneza code za java ambazo nizilink na form ya html kwa ajili ya guestbook. Tatizo langu kubwa ni jinsi nitakavyoandaa java. (note: nataka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kampuni ya Microsoft imetozwa faini ya dola milioni 731 kwa kukosa kuwapa watumiaji wa programu ya Windows uwezo wa kuchagua mfumo wa kutumia Internet badala ya kutumia mfumo wake wa Internet...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau! Je, nifanyeje ili kuinstall app hii katika iPad. Nikijaribu inasema account yangu is not valid kutumia store ya US na kunitaka ni switch kwenye Tanzanian store. Sasa nina switch vipi? Au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salamu kwa wakubwa wote! Habari gani Simu yangu ya Nokia huwa inajizima na kujiwasha yenyewe. Hali hutokea, hususani wakati nikitumia intaneti. Naomba kujua nini sababu na suluhu. Hali hii...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Ni kuhusu Kifurushi cha premium!! Je kuna baadhi ya chanels zinazokosekana hata baada ya kulipia? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hey guys nimepata this iphone 4s kutoka USA ila it has no sim card slot and its registered to a certain ntwork ya kule can someone help me out?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau natumia machine ya kizamani kidogo dell optiplex gx 240 tatizo ni kwamba nikiiwasha ha-iboot na haimalizi POST inaniambia "previous attempts to boot this machine failed at checkpoint Vmgr...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Wadau natumia machine ya kizamani kidogo dell optiplex gx 240 tatizo ni kwamba nikiiwasha haiboot na haimalizi POST inaniambia "previous attempts to boot machine failed at checkpoint Vmgr...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Wana Jf naomba msaada simu yangu haifungui email software iliyopo kwenye menyu lakini mwanzo ilikuwa inafunguka
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Wajamen naombeni msaada wa fundi wa ukweli wa laptop dar maana haidisplay kwenye kioo ingawa inawaka yaani inatoa ishara kama inawaka lakini ndio hivyo ..naogopa kutapeliwa!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana Jf naomba msaada simu yangu haifungui email software iliyopo kwenye menyu lakini mwanzo ilikuwa inafunguka
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Wadau naombeni msaada kila ninapowsha pc yangu nakumbana na massage error hii: C:\Windows\System32\ctl3dv232.dll is either not designed to run on Windows or it contains an error. Try installing...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom