habari wadau Nataka ninunue Moja ya hizi simu hapa Samsung galax pocket S 5300 au Tecno N3 najua zote zina OS ya android Lakini sijui ubora wa kila Simu hapo naomba Maoni Yenu Wadau thankx.
Mambo vp wanajf?kwawale wakali wa mambo ya simu naombeni msaada,maana nina nokia c6-00,naipenda kwa baadhi ya mambo ila kiukweli mara kwa mara imekua ikiniandikia maneno haya system error,mara...
habaari, kuna mtu aliwahi post humu jinsi ya kutumia patch kwenye idm nilikuwa na hiyo setup lakini imepotea. naomba anayejua link ya kupata anatumie kwani nimejaribu ku search humu kwa kila namna...
Habari wana JF,naomba msaada nina machine ya Dell laptop inspiron n 5030 nataka kuweka OS ya window XP,
Nimeletewa ikiwa na window 7.
1.Naomba Kufahamu kama kuna DRIVERS ambazo ziko compatible na...
Here at Hosanna Higher Technologies, we love free and open source software. To raise level of Tanzania coders we will start new free project, a full Media Player.
All basic design decisions will...
06/03/2013
Ulimwengu mzima kwa sasa kasi ya intaneti ni jambo la muhimu kwa watumiaji wa kompyuta, katika utafiti uliofanyika hivi karibuni unaonyesha kwamba Hong Kong ndio inayoongoza kwa kasi...
WAKUU,
wALE WADAU WANAOSUMBULIWA NA KUKOSEKANA DRIVERS F'LANI KWENYE MADUDE YAO WAJARIBU KUSCAN,KUDOWNLOAD NA KUINSTALL DRIVERS ZOTE MUHIMU KWA PC ZAO KUPITIA SOFTWARE HII AMBAYO TAYARI IPO CRACKED
Habari wana JF. Samahani wakuu naomba msaada wa kuwapata hawa jamaa ambao wanatoa Domain za .co.tz, kama kuna mtu ana taarifa kamili mahali walipo pamoja na mawasiliano yao, naomba anisaidie kwani...
WTS New Release BB TK Discovery,BB 10 Dev Alpha & Porsche P'9981
SPECIAL PINS FOR blackberry TK Victory,Blackberry Porsche 9881 and We also customise pin with your names....New Release...
Nikon D4 16.2 MP Digital SLR with AF-S DX Zoom-Nikkor 12-24mm f/4G IF-ED
16 GB Secure Digital (SD) Memory Card
Large Backpack for SLR Camera Equipment
Padded Case for Digital SLR Camera...
March 07, 2013 | Forbes
National security letters are the Fight Club of government data surveillance. Thanks to the gag orders that accompany those FBI requests for users private information...
Ikiwa imebaki kama wiki moja kabla ya uzinduzi wa Samsung Galaxy SIV, kuna taarifa kwamba simu hiyo itawawezesha watumiaji kufungua kurasa kwa kutumia macho, hili sio la kushangaza kwani Samsung...
Ninatarajia kufanya research siku chache zijazo ambayo inahusisha kuwahoji watu kwa hivo ninahitaji kifaa cha kurekodi mahojiano hayo ambapo baadaye ninaweza kuyahifadhi kwenye computer na baadae...
siku chache zilizopita mpaka leo simu yangu imekuwa ikileta tatizo la kuishiwa na space kwenye memory card bila kuweka kitu. Yani unaweza kui free ikawa na MB 100 but mda mwngne inaisha hadi...
Wana JF wenzangu nina blackberry touch 9860 yangu ambayo jana usiku imezima ghafla na kuacha kufanya kazi yaani inarestart inaenda ikifika kati inaanza upya na hii imejirudia mara 20 naomba msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.