Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa mafundi wa magari, Nauliza bei ya timing chain ya Vitz 2000, kwa ajuae please!! :A S 39:
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Habari za wikiendi wanaJF. Kuna tatizo ambalo limejitokeza kwenye computer yangu, tatizo ambalo nimeshindwa kulipatia ufumbuzi kwa takribani siku ya tatu mpaka leo. Ni kwamba karibia icon zote...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
wanajamvi, kwa anayejua fundi mzuri wa kutengeneza simu za blackberry, tatizo ni simu iliingia maji ikazima, haiwaki kabisa Naomba kwa anayejua ani PM contacts
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kuna Android Application ulishindwa kupata kisa kuna Pricetag we niambie & unaipata dakika 0 yani!!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jamani mwenye hii game naomba anisaidide natamani xana kuicheza
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kampuni ya Apple ni moja kati ya kampuni zenye kuwekeza katika utafiti na maendeleo ya bidhaa zao, masaa machache yaliyopita kampuni hiyo imepata haki miliki mpya ambayo itatumika kwenye iPhone za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Swali ni kwamba kitendo cha ku Jailbreak IPad ina bad impacts kwenye IPad? Kama zipo can u tell me some, na Kama zinaweza kuepukika au la, pia Kama kuna advantages zake pia naomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii simu inasumbua kwa upande wa battry na pia kila baada ya masaa mawili lazima uizime ili internet ifanye kazi Kuna mtu amesha sikia jinsi ya kuondoa hilo tatizo la internet kutofanya kazi kila...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu habari. Nimesikia sana hii kitu na kuona baadhi ya video YouTube lakini sijaelewa vizuri maana nilikosa wa kumuuliza. Anaeweza nisaidia kidogo kunipa maelezo... Maana ata sijaelewa baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa Nawategemea kwa hl pia....... hii cm yangu ninaitegemea kwa mambo meng(cna uwezo wa kununua nyngne)....nikiweka lain yoyote ya cm inagoma kuleta halama ya mtandao pale na hata nikiload...
0 Reactions
5 Replies
928 Views
wadau kuna simu ya kichina imejifunga na power on password bila kukusudia na mwenyewe hajui password, msaada namna ya kuifungua pamoja
0 Reactions
11 Replies
14K Views
Kuna data nilimwachia mtu PC akazi delete,kuna uwezekano wa kuzirudisha!!!!!naomba msaada kama upo
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Uvumi na minong’ono ni mambo ambayo hayaachani na kampuni ya Apple yenye makao makuu yake huko Cupertino. Baada ya uvumi kwamba Apple wangetoa televisheni mwaka huu kuanza kufifia, sasa hivi kuna...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau naombeni msaada wenu Nokia c 2690,imegoma kufungua BROWSER ili kupata Opera mini
0 Reactions
4 Replies
949 Views
nikiupdate os inatoa sms hii APPLICATION LOADER WAS UNABLE TO CONNECT WITH YOUR DEVICE,PLEASE RE-CONNECT YOUR DEVICE,ENTER THE PASSWORD,IF REQUIRED, AND CLICK RETRY nimejaribu kurudia mara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ubora + Ina Skrini yenye kuongoza duniani kwa ppi + Mnunuzi anapata 1TB ya Google Drive kwa miaka 3 + Ina boot kwa wastani wa sekunde 8 Udhaifu - Chrome OS bado ni ngeni kwa wengi - Inatumika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nna bold 9780 v6.0.0.294, nikiangalia application management yake inaonyesha bbappworld imo lakini kwenye homescreenn siioni! Na ata kule kwenye app management ukitazama kwenye prop yake...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
who knows tha flash unlock code for nokia 1680c?
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Wana JF laptop yangu imepoteza uwezo wa kuongeza au kupunguza brightness baada ya kubailisha window 7 home pentium, version ya microsoft office 2010 kwenda window 7 ultimate version ya 2007...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naomeni msaada katik bb yangu. mara ya kwanza ilikua inastaki. nikaiwaip ikawa inafanya kazi kama kawaida. sasa hvi imegoma kufanya kazi katika ile batani ya kati ya kusensi. sasa hivi hvi...
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Back
Top Bottom