Nimejaribu ku-unlock modem yangu ya airtel aina ya ZTE model MF190, nafuata process zote kwa kutumi dc-unlocker 2 client, lakini nikifika hatua ya mwisho inaniambia "no user name" "error code 63"...
Wana jf naamini tatizo langu litapata ufumbuzi hapa nina gari lenye gearbox auto linanisumbua, halibadili gear zote mwisho ni gia nne tu na ya nne huingia kwenye mtelemko lkn pia nikikanyaga...
Habari zenu nduguzanguni...!!
mi naomba nisaidiwe kitu kimoja tu kwenye hili game (ni PC version)..kila nikicheza ninapo quit na kusave then baadae tena nikija kuwasha tena nakuta resume haikubali...
Salaam wana JF!
Naamini kwa wale mlioko TZ, mlisikia tangazo la TCRA kwamba ifikapo tarehe 1 ya mwezi wa 3, 2013, gharama za kupiga simu kati ya mitandao tofauti itapungua sana. TCRA walidai...
nikibonyeza *102# ili kuuliza salio, badala yakuonyesha salio inaendelea kuita as if nimempigia mtu, tafadhari kama ulishakutana na hii kitu nifafanulie nielewe. natumia mtandao wa voda.
My new lady Nokia E7 (ex Finland) which I bought while I was in transit and expected to be a total mobile office doesn't give me joy, none at all.
This bloody phone does not charge a battery. I...
Ndugu nilikua na sim aina ya samsung galaxy ,nikaibiwa sim hiyo ,masaa machache tu namba yangu ikawa haipatikani ila nilikuwa nimelog in kwa kutumia facebook katika sim yangu,nadhani mtu huyo...
heshima kwenu wakuu,natumai mu wazima wa afya,mie ninalo flashing box langu la ufs nahitaji kuflashi kwa kutumia usb cable lakini tatizo nimeshindwa kwakuwa sina driver kama kuna yeyote anajua...
jamani msaada kuna mdau alipost hapa hiyo kitu sasa imekuwa na shida kwenye kuistall sasa naomba kama kuna aliye kuwa amesave anitupie hapa nami niipakue...
Social networking websites are causing alarming changes in the brains of young users, an eminent scientist has warned.
Sites such as Facebook, Twitter and Bebo are said to shorten attention spans...
Ndugu zangu wana JF ninamiliki duka la rejareja na natamani kuliendesha kitaalamu kwa kutumia POS SYSTEM naombeni munipe msaada niipi POS software nzuri na hadware wapi nitapata? ASANTE
Jaman wana jf,pc yangu betri ilianza kuchoka,ikawa haikai na power.Ukizima umeme nayo imezimika,bado cjafanya replacement ya kuweka betri nyingine ila sa hvi ukichomeka 2 umeme inawaka na kujizima...
The additional features for working with linked tables have been deactivated. To find out why click here.
baada ya kuclick nikapata ujumbe huu
$cfg['Servers'][$i]['pmadb'] ...
not OK [...
habari ndugu wana jamvi
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu,kuna program flani iliwekwa na fundi kwa ajili ya kulinda computer sasa nimeenda kwenye control panel ili niweze kuito imeshindikana...
Hello Friends We are going to share you this trick with which you can browse and download for free using Airtel sim card.
For this you need to Download a Software Called Cproxy.
You Can Download...
Mnigeria Saheed Adepoju, mwanzilishi na CEO wa kampuni ya Encipher Group anatekeleza ndoto ya kuinyanyua Afrika katika Teknolojia kwa kuzalisha kompyuta aina ya tablet, tablet hiyo si miongoni mwa...
Habari wanajf!
natumia laptop ya toshiba os windows 7 kila nikiiconnect modem inawaka kama dk 5 hivi then inaniambia window has encountered critical problem and will restart in one minute hivyo...
KATIKA PITA PITA ZANGU LEO NIMEKUTANA NA HII SITE, KUWA KILA UNAVYOZIDI KUWAALIKA WATU WAJIUNGE NA HIYO SITE UNA EARN DOLA MOJA NA MALIPO YANAFANYIKA KILA MWEZI KUPITIA WESTERN UNION...SIJAJUA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.