Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
hallo nawezaje kuburn video za youtube? naataka niziweke katika format ya video cd
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Wakuu habari zenu.... NATAKA KUULIZA KUHUSU HII BUNDLE YA VODACOM YA 8000/= KWA MWEZI.. JE SPEED YAKE NI SAWA NA HIZI ZINGINE ZA 200 NA 500 KWA SIKU AU INAKUWA TOFAUTI KIDOGO NA ZINGINE...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu. Simu yangu imevunjika kioo inanipa tabu sana am looking for anyone who can fix it out there,ni SAMSUNG GALAXY mini GT-S 6500 D original one kama kuna mtu ni fundi out there au...
0 Reactions
5 Replies
832 Views
21.6 Mbps WITH WI-FI Connect up to 5 devices seamlessly with the Huawei Soft Wi-Fi that lets you transform any laptop with a Wi-Fi adapter into a Wi-Fi hotspot. Install the software and...
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Jameni wanajamvi mimi hiki king'amuzi natamani nikitupe! Yaani sauti yake ni mbovu halafu inaumiza mno masikio. Muda mwingine inapanda juu na kushuka chini mpaka ni kero. Ukiwapigia hao startimes...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wana jukwaa mimi nilijaribu kuinstall hii program ya ku protect flash lkn kwa sasa nataka niitoe lkn nashindwa mwenye maujuzi anisaidie karibuni
0 Reactions
1 Replies
3K Views
For All developers, your thread is here Let us hear from no developers, problems in compiling and any help needed. Also side comments and "praise reports (who does not like it?)" Welcome and...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna uzi ulianzishwa humu wenye kichwa cha habari"Chadema kumtaja kigogo wa biashara ya ving'amuzi" na mie nikachangia Uzi huo na kuahidi kuwapa uhondo naofaidi kwa kupata channel za kibongo bila...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Salaam, nimeanzisha kampuni bado ni ndogo ila ningependa niwe nahifadhi rekodi kwa njia ya komputa means profoma invoice, tax invoice, receipt pamoja na delivery note. Nahitaji mtaalam wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habarini wana jamvi? ninatumia nokia pc suite(ovi), lakini siku za karibuni inakataa kabisa kudetect simu, simu inaandika no response from host(yaan pc), niende sehem gan kufanya settings?, nim...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi ni jumatatu nyingine tulivu watu mbalimbali wakiwa katika mihangaiko ya kujitafutia riziki.swali langu wana jamvi je ni kweli mitambo ya analog kuwashwa tena? Sent from my...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari zenu binafsi nna maswali kadhaa kuhusu Free To Air Channels na Dishes: Hivi tunaposema dish ni FUTI 6 maana yake ni nini? je ni urefu wa stima za kushika hilo dish au ni kipenyo cha dish...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
naomba mtaalam anisaidie nina futi 6, lnb 3. kU mbili na Cband 1 mwanzoni zote zilifanyakaz pamoja, sasa nikipandsha ile beam napata ku ya k24 na C ya ITV. nikishusha kdg napata ile...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari zenu wote tatizo langu leo ni kuhusu kuweka chatrooms ktk blog yangu yaan mtu aweze kusign up,ku sign in na kisha kuchati,kuupload picha na kushare na wengne.nadhani nimeeleweka nitafurah...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu Dogo hajambo. Katika umri huo bila shule ametengeneza Radio? Kweli ana kipaji.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
nisaidieni jamani cm kwenye camera imeandka VGA na haipgi kabsa
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Hi
Jaman wadau scratches zilizo kwenye kioo cha smartphone zinaweza kutolewa
0 Reactions
2 Replies
921 Views
"Habari njema kutoka Airtel. Nunua kifurushi cha 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumika kwa siku 10. Tuma neno INTERNET kwenda 15444 na furahia kuperuzi" Ujumbe tajwa hapo juu,tunaomba hata kama...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi saund kad inayo2mika na muzic prod.kama voko na mix trak. Inaweza ikapatikana kama program ya pc? And other instrument.
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Kuna mtu humu anaeweza kuniambia Sibuka TV iko vipi ki teknolojia na inatofautiana vipi na tv kama ITV na Sibuka TV ikitaka iwe Free to air tv nchi nzima,wafanyaje?
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Back
Top Bottom