Moja ya matatizo ya smartphones ni kutokukaa na charge. Ya kwangu nilikuwa na charge mara mbili kwa siku. Lkn sasa inaweza kukaa na charge kwa zaidi ya saa 24, na mara nyingine kwa saa 48...
Boy scares off lions with flashy invention
By Teo Kermeliotis, for CNN
· Richard Turere, 13, has found an innovative way to protect his family's cattle from lions
·...
Tumejiwekea mita za umeme katika vyumba ili kudhibiti matumizi ya umeme sasa Desktop computer langu linalamba sana umeme nalo PSU yake ni watts 160, naombeni maujanja angalau liweze kutumia moto...
Wataalam naomba msaada hiv dish moja lenye lnb mbili kubwa na ndogo naweza share na mtu kwa kutumia receiver yangu? Je receiver inabidi ziwe sawa? Na ni vitu gani vinahitajika? na connection...
hey jinsi gani ya kuactivate trial version ya kaspersky kabla haijaisha baada ya kupata activation code coz nimeenda kwenye license bt wanakubali code n siku haziongezeki mwenye kujua hili aniweke...
​hii habari nimeisoma kwenye blog fulani ya kitanzania na ingine ya Burundi, nataka kupata mawazo ya wadau wengine wenye data zaidi maana hakuna alieyajali baada ya hili tukio mwaka jana...
Waungwana
Natafuta Mobile Tracker software kwa ajili ya Nokia X2-02. Nimetafuta sana kwenye Internet, sijapata lolote.
Mwenye msaada anitumie PM.
Asante.
Wadau nifahamisheni!
Ningependa kuwa mtengenezaji au muendelezaji (developer) wa software!
Je, natakiwa nisome kozi gani na chuo gani hapa bongo kiko vizuri?
Elimu yangu B.Sc. Ed.
Ahsanteni!
Wakuu habari zenu?
Kwa wale ambao hamjaijuwa AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.
Adfly is a URL shortener service that will allow you...
Habari zenu wadau, naombeni mnijuze jinsi ya kuunganisha g tab na internet kwa kutumia line ya vodacom nimehangaika sana na kuomba msaada bila mafanikio,ni g tab model P900
leo mozilla firefox wamezindua operating system yao mpya na wametangaza jumla ya mitandao ya simu 18 inawasuport pamoja na manufacture wa simu wanne lg, huawei, zte na alcatel.
Simu...
moja kati ya kitu ambacho windows phone ameshindwa na android ni bei, simu njingi za wp zinauzwa bei ghali lakini leo nokia wamezindua simu za bei rahisi kabisa za windows phone. simu zote zina...
natumia dish futi 6 na receiver ya medaicom, hapo kabla lilikuwa napata chanel nyingi ikiwemo itv, tbc, ch5 bila shida sasa kutikana na sababu za ki miundombinu ilinilazimu kuliamisha mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.