Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hebu leo tuachaneni na android, ios, symbian na windows phone tumwangalie mrembo mpya kigoli firefox os ambaye ni os mpya ya simu itayoingia sokoni mwanzoni mwa mwaka 2013. NI NANI FIREFOX OS...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuendelea kwa Website za Forum kunapelekea Uendeleaji wa Technologia ya Internet Tanzania sasa,Na hatimaye nimetokezea kupenda mfumo huu, na sasa wapsite mpya ya forum imetoka ya friend wangu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
leo ndo simu inazinduliwa ntawapa hints kidogo za hii simu kwa wale wanaopenda htc. Hii ndo simu itakayodetermine uwepo wao kwenye competititon ya smartphone. boom sound htc wamezindua feature...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Samsung imeanza kutoa mwaliko kwa wanateknolojia na waandishi wa habari kwa ajili ya uzinduzi wa simu yao kuu yaani Samsung Galaxy S toleo la 4. Si kawaida kwa Samsung kutoa mwaliko katika tukio...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanaJF, naombeni kujua ni jinsi gani naweza kubypass login screen na kuaccess system as an administrator in linux based system kama fedora.. password ya administrator imesahaulika..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna phone app inaitwa @McAfee security nimeipakua kwenye android yangu leo.Nimejarib kui2mia na nimeona inanifaa sana,lakin tatizo linakuja wao wanatoa only 7days kui2mia trial.Swali hamna namna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Haya Kwa Wale bado wanatumia Windows XP jifunzeni namna ya ku Format Windows XP fuatilia hapa chini picha How To Format And Install Windows XP? Windows XP is one the most commonly used...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
King'amuzi hiki kimekua kero afadhari hata ningekuwa nje ya mji sasa katikati kila wakati ni no service mara picha zigande kwa kweli kama ndio digital hii nawataka analog iwashe haraka sio kila...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu hivi hakuna app yoyote ya android inayorusha matangazo ya TVs za kibongo, maana wakati mwingine wengine tunakuwa mbali na tv ukizingatia tena mambo ya vingamuzi basi shida tu. wanaojua...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kama we ni mpenzi wa simu ambazo sio smartphone, simu ndogo zinazokaa na charge simu ambazo ni rahisi kutumia basi hizi zinakuhusu, leo katika tamasha la mobile world congress nokia wamezindua...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Wadau ningependa mnifahamishe nini maana ya java programing language! Afu nilikua napenda kujifunza hicho kitu tatizo sijui hata pa kuanzia! Naomben msaada wenu!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wakuu wote. Nimekamilisha hatua ya kwanza katika kudesign website/blog yangu binafsi (personal blog). Nawakaribisha mje tu-blog pamoja pia mtowe maoni juu ya muonekano wake...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam, Napenda kufahamu kuhusu Google Maps. 1. Nani anamiliki/simamia/ratibu Google maps? 2. Huwa inaboreshwa? 3. Kama jibu ni ndio; Maboresho yanafanyika kila baada ya muda gani? Huwa napenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
samahani sana naomba mnisaidie maana kila nikilogin OLAS site(HESLB) kuna msg "A Database Error Occurred Error Number: 1146 Table 'olashes_olas.prospectivetracker' doesn't exist SELECT *...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
wakuu heshima kwenu, ni wazi kuwa excel ina mambo mengi ambayo si rahisi kujua yote, kwa yeyote anayefahamu ni formula gani nnaweza kutumia ikatofautisha data zilizoko kwenye sheet 1 na sheet 2...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nipo dar,nahitaji pS 2...budget yangu ni 120,000!atlest iwe katika condition nzuri na ikipatikana multsystem itakua poa, nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
743 Views
I have a tct x230 airtel modem.. how do i unlock it??
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nnamatumain muwazima wana jf, natumia modem ya voda, juzi nimeinstal window3 lakin inagoma kufungua internet, tatizo laweza kuwa n nn? msaada wenu wapendwa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za kwenu wanaJF, Nimekuwa nikitumia iphone 3gs kwa muda kidogo. Ilikuwa locked wakati nimeipata but nikaupdate to ios 5.1.1 na kuiunlock. sasa hivi karibuni cydia ilicrash.kila nikitaka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
It's a big day for Microsoft. It has launch the most important product windows 8 . Besides, people also can see windows 8 pro, windows 8 enterprise edition, windows 8 RT and deliver Surface RT...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom