Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu nimekwama kidogo..mi si mtaalamu sana wa kutengeneza logo.nimejaribu kwa uwezo wangu kwa kutumia software ya aurora 3d ila tatizo linakuja jinsi ya kulisave niweze kulitumia kutengeneza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada game ya Pro Evolution soccer 2012 haitaku kuistall kwenye simu yangu galaxy mini nifanyeje??
0 Reactions
2 Replies
982 Views
wanaJF naomen mnisaidie namna ya kuunlock modem yang ya airtel huawei e 153 ntafanya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau mnalipi la kusema kuhusu hii kitu mpya inayoletwa kwenye ushindani wa OS za simu????
0 Reactions
3 Replies
793 Views
msaada tafadhali, flash disk yangu inanambia niiformat Nikiformat inanambia "the disk is write protected"
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Iwe katika hali nzuri na iwe inatumia dv pia iwe ina firewire port. Bei iwe ya kawaida chini ya 400,000
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habari wana jf. naweza kupata wapi receiver hizi hapa dar?na bei yake ikoje? 1. TIGER 450 HD 2. TLINK 300,600 OR 900
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Tazizo la computer ni km linavyoonekana kwenye picha, nimebadili hard disk, ram, screen tatizo bado liko palepale, hiyo mistari inakuja na kupotea wakati mwingne inajizima na kujiwasha. na kuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wandugu naombeeni msaada nna android phone kutokana na wimbi la wezi nna tafuta application ya kuinstall kwa simu ili incase wakiiba I can be able to track the thieves ntashukuru,hata kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
dah mazee mm ninatatizo hii airtel kwangu ina receive signal very slow i dont know y.hivyo wanaibana makusudi kwa hii bandle au vp.nina kua kama ctumii 3.75G hebu naombeni mawazo yenu kwa hili
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wapendwa tafadhali ninaombi moja tu la kupata FREQUENCY AND SYMBOLATE za chanels za Tanzania na nje Maana nimefunga LNB2 NA KU2 bt sina hizo frequency Tafadhali naomba ... Pia kma unazo za Zambia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Power switch na betri viko poa kwenye pc inaonekana na drivers zinakua installed kwani kwenye pc zimo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada game ya Pro Evolution soccer 2012 haitaku kuistall kwenye simu yangu galaxy mini niganyaje??
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Jameni wandugu naombeni msaada, screen display ya hii laptop haijatulia kabisa. Maandishi yanatetemeka mpaka wakati mwingine screen inakuwa nyeupe kabisa. Je tatizo laweza kuwa nini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, samahani kuna mtu namtengenezea website ila anahitaji iwe katika kiswahili.Sasa kuna baadhi ya maneno naomba uhakika au msaada niyaandike vipi.Nimejaribu kufanya uatafiti baadhi yake...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Google ni ulimwengu wa uvumbuzi wa bidhaa na majaribio ya teknolojia, katika baadhi ya mawazo na uvumbuzi ambao Google wanaendelea kufanyia kazi kuna mambo ambayo sio ya kufirika, gari...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Kampuni iliyojipatia umaarufu kwa kutengeneza transformer tablet wamefanya uzinduzi katika maonyesho ya MWC huko Barcelona na kutangaza simu/tablet mbili kwa pamoja. Wakati wengi walitarajia kuwa...
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Natmua intex tv tuner modelIT 200USB kwenye laptop yangu inayorun window seven proffessional tatizo nikiconnect na antennae moja kwa moja napata picha cpat saut n mckiko wa chenga ukitega sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello wana JF nime install ubuntu 12.10 sasa kila nikijaribu ku install skype inakataa tatizo ni nini? nimejaribu ku install hii Microsoft Windows Compatibility Layer (meta-package) ila napata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Iwe used au mpya bei isiwe juu sana, contact 0713943995 mwanza
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom