Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Microsoft has become the latest US technology company to confirm that it has been targeted by computer hackers. In a blog post, Microsoft announced that "a small number" of its computers had...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
help how to use utorrent kudownlod movie help
0 Reactions
2 Replies
814 Views
habari wakuu!!baada ya kupata simu ya lg c900 nlihitaji kuinstall apps mbalimbali,nkashindwa na baada ya ku google nikapata info kua mc walishasema kua kama una wp7 hautaweza kutumia marketplace...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya Ubuntu Tv, Ubuntu Phones now ni Ubuntu Tablets. We love ubuntu. Ubuntu on tablets | Ubuntu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
naomba msaada kwa anayeweza ku-unlock huawei e960(wifi router from zain) inaingiza line ya airtel peke yake. nataka iwe inaweza kukubali line zote. imei:357195013012981
0 Reactions
1 Replies
3K Views
jamani nikiwa kama developer wa muda mrefu ningependa tujadili vitu kadhaa hapa. Hivi ninavyoviweka ni baadhi tu kwa kuanzia lakini sio limit. Ongeza na punguza upendavyo. Ni nini muelekeo wa fani...
1 Reactions
27 Replies
11K Views
Jamani Tv yangu ni flat screen lcd inch 32 nimetumia muda mfupi tangu niinunue kama miezi mitatu hivi inasumbua. ilianza hivi: nikiiwasha nikawa nasikia sauti tu picha haionekani mpaka baada ya...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Wadau naomba mwenye kufaham ni wapi wanatoa mafunzo ya GIS na gharama zake ni kiasi gani?please anayefaham naomba kujuzwa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
yoyote anayeweza kunisaidia hiyo link wakubwa, nimehangaika sana google bila mafanikio
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau habari zenu kwa ujumla Channel ya Pakistani inaonekana inapatikana hapa Tanzania vizuri beam ndo inavyoonesha lakini nimetafuta mpaka nimebaki hoi ni zaidi ya siku tatu nimeambulia patupu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama topic inavyosema hapo juu, nashindwa kudownload graphic softwares, njia rahisi ni ipi? maana nahitaji kutumuia kufanya mazoezi ya graphics designing. Naombeni msaada, na je kuzinunua dukani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada wenu,nimehangaika mnooo kuondoa hii tigo caller tune nimepiga customer care mpaka nimechoka sijapata msaada wowote.anayefahamu jinsi ya kujitoa anisaidie tafadhali.asanteni
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wadau Kuna simu hapa Nataka kununua aina Ni HTC audio Beats But kinachonitia mashaka ni Double Line naomba mnielekeze Kuhusu hii simu je kuna Double na single line Na bei yake dukani ni SH ngapi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu,Inshort mimi si mjuzi sana wa kutumia comp,Laptop yangu imekorapt vibaya mno sasa nimeshauriwa nimtafute mtu mwenye Laptop model kama yangu then anisaidie kunipa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu. Nahitaji jina na contacts za hawa wanaotoa huduma za kutumia tarakimu zofuatazo 15xxx kwa kutumia simu za mkononi, mfano, unaambiwa tuma neno MOYO kwenda 15559 n.k Nawatafuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I'm among a company of people who love to download their files to desktop as intermediate place. Who does want to make a long journey to C:/users/me/Downloads to fetch files and folders? Many of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Karata zinaweza kusoma akili yako haya jaribu kucheza. Kabla ya kuche uwe muangalifu wa kuchagua karata yako kisha bonyeza hapo palipo andikwa Here zitafunguka karata unachotakiwa uchague karata...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Namshukuru mola kwa kua sasa mambo ya kimtandao kidogo yamenikolea na kuisaliti analojia. Wapendwa mi natamani sana kuangalia videos youtube, ila tangu niiuze computer yangu sipati tena raha hiyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wadau msaada nawezaje kupat network muda wote wa sumsung GT-S5300 kwan tigo inasumbua na airttel haiingizi setting
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Kuna rafiki zangu wana modem kama ya kwangu(airtel ce 1588) ila wanao wanapojiunga wanapata mb 400 kwa tsh 2500.ila mimi napata mb 150 kwa tsh 2500.nisaidieni maujanja kama yapo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom