Asubuhi nimepita kwenye mgahawa fulani nikawakuta vijana kama 3 wanasuburia huduma, kitu kilicho nishangaza walikuwa wanataja sana neno king'amuzi.
Baada ya kuwataka waniambie maana ya neno...
Kama wadau wa teknolojia, si vibaya kutupia jicho katika hivi vitu long term evolution(LTE) na Quality of Service(QoS). maana ndipo tunakoelekea hii ni as per Nokiasiemensnetwork(NSN)...
habari za leo wakuu wa JF siku zote tangu nianze kutumia intaneti napata shida sana
natamani siku moja nikigusa tu kitu nnachotaka kufungua kifunguke, nachoshwa sana, na mara inagoma
mara...
INFOBRIDGE CONSULTANTS LTD
In Collaboration with MUST COLLEGE
Are organizing an evening MONTHLY GIS DAY TECHNICAL SESSION
THEME Basic Satellite Image Processing
DATE: 01 March 2013, Friday
TIME...
Hellow wanajamvi...
Nimekuwa nikipokea ujumbe huu kama ulivyo hapa.chini... Je kuna ukweli wowote kuhusu ujumbe huu???
Hello, we are Andy & John, director of MSN and now also whatsapp...
Laptop HP 630 intel Celeron imetumika miezi miwili inauzwa, bado ni mpya kabisa. Kilo 580 zinahitajika
Processor 1.6 ghz
RAM 2gb
HDD 500
Ina support Wireless, bluetooth na webcam kama kawaida
kama...
wakuu tutumie uzi huu tuelezane juu ya cm tunazotumia pamoja na uwezo wake.
1Me natumia nokia e51 na naipenda hii cm coz inapga mzgo poa sana na ni ngumu.
2.Pia nna pocket galaxy, na kenyewe...
Is Millionaire Space Tourist Planning Trip to Mars?By Mike Wall | SPACE.com 10 hrs ago
Email
Share222
Share4
Print
Related Content
View PhotoNASA's Hubble Space Telescope snapped ...
Hi good people!
I have a MACBOOK running on MAC OS X Lion v10.7.2 crashed. When I was trying to restore it using disk utility, I found myself erasing everything on the main drive containing OS...
Habari za leo,
naombeni mnisaide kujua ni jinsi gani naweza kuupload multiple files (yani nikimaanisha wakati nabrowse file ili niupload niwe nauwezo wa kuselect more than one file) with different...
habari wakuu, katika pita pita zangu nimekutana na website ya direct downloads i.e ya kutumia idm kupakua series zooote za kikorea,kijapan na n.k kama city hunter,the moon that embraces the...
habari za leo wanajf,
naombeni mnielekeze jinsi gani ya kucategorize files. ninachohitaji ni mtu akiingia kwenye webpage yenye files mfano anataka aone videos basi aweze kuchagua ni video za aina...
Habari wakuu...!
Sorry wakuu,kuna shida upande wangu sasa sijajua kama ni kwangu tu au laah.. TBC kwenye DStv haitoi sauti ila channel nyengine zote zinasauti kama kawaida,its almost two weeks...
Waungwana
Tatizo la wizi wa simu limekuwa SUGU kwa muda mrefu sana.
Je, wapi kuna solution ya mobile security kwa Nokia phones, especially the Nokia X series, kama vile X2-00, 01, 02 na 03, au...
Viongozi,
Nawasalimia jamani naomba msaada wa kupunguza font size za JF web zimekuwa kubwa sijui kuna nini kiimetokea.Kwa web zingine font zipo kawaida ila kwa JF ndio zipo kubwa.
Nawasilisha...
sony wamezindua game lao jipya la playstation four litakalokua na specs nzuri kidogo kama x86 based processor, cpu yenye core 8, ram 8gb na enhanced gpu kucompare na ile ya ps3.
Vitu muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.