Higgs Boson Particle May Spell Doom For the UniverseBy Clara Moskowitz | LiveScience.com 13 hrs ago
Email
Share3711
Share33
Print
Newly Discovered Particle Could Spell Doom for the...
shalom,
nimejaribu kuunganisha JDBC driver ili niweze access data kutoka kwenye NETBEAN bila mafanikio
nimefuatilia video youtube lakini nikijaribu sipatio output yeyeto kwa anayefahamu kuanzia ku...
heshima kwenu wakuu.
nataka kununua photoprinter online kampuni ipi nzuri kati ya e-bay au amazon.
maana ndio mara yangu ya kwanza.
na nitafurahi zaidi kama nitaelezwa na ubora wa hiyo kampuni...
Bwebwe nyingi za Digital kumbe maandalizi afifu. Jana nimeangalia taarifa ya habari hata kuiyelewa sijaielewa. Full migando kila wakati. Tafadhali turudisheni kwanza kwenye Zungusha antena...
Wakuu habari za usiku: ninamdogo wangu mkorofi kidogo nilikuta kafuta data zangu zote ambazo nilikuwa nimezihifadhi kwenye external yangu ambayo ilikuwa imeunganishwa kwenye desktop, nimetafuta...
Natumia samsung GT-3222, Nime-download UC BROWSER Version 8.7 lakini haikubali kufunguka inaandika "fail to load home data" sijafaham tatizo ni nini. Naomben mnisaidie wakuu
Russia asks: How do you stop space objects hitting Earth?By Timothy Heritage and Gabriela Baczynska and Michael Shields | Reuters 7 hrs ago
Email
Share129
Share
Print
View...
Guys hili swali limekuwa likinisumbua sana ila bado cjalipatia ufumbuzi,kutokana na technojia ambayo wameifikia cdhani kama wanashndta kuweka app.ya radio kwenye cmu zao,ambaye anaweza kujua...
I have been trying to go shop after shop after shop to fetch Original Tally Accounting and I have failed to get one.So am asking you members to help me by telling me the specific shops where I...
Wakuu natumia bit torrent kushush mizigo na nimepakua mizigo ya ka gb6 hv ucku mmoja hv nkaselect mingine mipya xaxa nw nashaa tangia nimeiselect haijidownload afu katika sehemu ile ya network...
wakuu natumia nokia inayosuport watsApp..nlidownload kupitia line ya tigo...nimehamia voda ikawa inafanya kazi vizuri..jana nkaiupdate kwenda version nyingne ikagoma kufanya kazi...meidelete now...
Habari
last week niltemebelea tovuti ya ttcl kuna maelezo niliyokuwa natafuta nilichokutana nacho sikukielewa.Baadaye server ikawa haipatikani sijui server illizimwa.Khali hiyo bado ipo hata muda...
Nimenunua LG-290 wiki jana na hivi sasa haiwaki, betri iko ok na wakati fulani inaweza kuwaka bila kuonyesha kitu kwenye display au inawaka ikonyesha alarm niliyowahi kuset. Kuna mzoefu wa maswala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.