Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nilishawahi eleza namna battery zinavofanya kazi lakini nimeona kuna wadau bado wanahitaji somo hili hapo chini; Laptop nyingi zina auto turn off charging system ambayo yenyewe automaticaly...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Wadau ukiwa dar ni maduka gani ninaweza kupata hii kitu decoder aina ya HAWK 777
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Poll Poll
http://listverse.com Hii tovuti binafsi nimeipenda, ina top 10 lists ya mambo mengi. TEMBELEA LEO UJIFUNZE MENGI
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Msaada ndugu zangu, nifanyeje ili kuweza kudownload file za musiki/cinema kwenye You tube? vile vile ninawezaje ku-download Nigerian films kutoka site yoyote? Nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Mi nina Access 2007 wala sijawahi kutumia 2003 ila kuna jamaa aliniambia eti 2003 inafanya mambo ambayo 2007 haiwezi je hii ni kweli?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watalamu,sina hakika kama hili swali lilishaulizwa na kutolewa maelezo humu,ila naomba tu kujua.Maana nimejaribu kugoogle,lakini napata majibu tofauti tofauti,ndo maana nimekuja humu ili kupata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina shida na waya wa RS 232 Female to Female nitapata maeneo gani kwa dar na inaweza kuwa bei gani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jina la simu inaitwa huawei 4africa kama upo familliar na huawei w1 then ni simu ile ile ila hii ipo pre bundled na apps zilizotengenezwa na waafrica. kama kawaida katika nchi zooote iliyo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mi ni mshabiki mkubwa wa zantel hasa kwene upande wa internet. Kwa kipindi kirefu nimekua nikitumia modem yao ambayo kiukweli ilikuwa ikinifaa sana. Cha ajabu siku za hivi karibuni nimeanza kuona...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajamvi naomba kuuliza je naweza pata smart phone yoyote kwa bei ya Laki Mbili.Na kama naweza pata ipi ni nzuri asanteni..
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwa yeyote mwenye link ninayoweza download drums kit zenye ladha ya kwaito kwa ajili ya flanisaidie mi nimekwama kuzipata?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKUU MSAADAnokia 1200 inawaka na kuzima ikishashikanamikono inazima nakuwaka tena haiendelei mchezo ni huohuo
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Wadau heshima kwenu naomba mnijuze hivi hiyo update ya WP7.8 tayari? Simi yangu ni Sumsung i917 inatumia WP 7 (not compatible with ISSD)thanks in advance.
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Wakuu naombeni msaada simu ya nokia 1200 iliingia maji ina wiki moja haiwaki nimeipasha na mashine lakini bado haiwaki nifanyeje naomba msaada segos
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TANZANIA faced a breakdown in Internet connections for the better part of Thursday afternoon after two submarine cables linking the country to the outside world experienced technical problems...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna game ya pool table nlikua nayo kwenye Pc imefutika na nimeisahau jina,kwa anae ifahamu anisaidie,ni kama pool table ya mitaan sheria zake na ina opt ya ku play wawili,nahitaji kui download
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada :israel:KU UNLOCK voda modem k 3570_Z_IMEI; 359592035662413
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Habari za siku nyingi wadau, ningependa kujua maana halisi na kirefu cha neno SOS ambayo nimekua nikikutana nayo pale network ya simu inakua haipo katika eneo husika..... Ahante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kale ka free internet mlikonipa kwa siku saba kamenipa mambo mengi makubwa nshashusha gb zisizopungua 15 kweli kazi ilikuwa ni kwangu................ swali ni je nikinunua kwa pesa yangu speed...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wanabodi kila nikijaribu kusign in facebook kupitia facebook app au facebook messenger inagoma na kuandika "there was a problem connecting to facebook, please check your connection and try again"...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Back
Top Bottom