Naomba kujua hili kwa vile hadi mwanzoni mwa wiki hii utaratibu wa Vodacom wa 40MB kwa Tsh.2500.00 ulikuwa unaendelea lakini leo nimejaribu ku-recharge na kuomba hiyo huduma ikanigomea,kulikoni?
GTs, mimi ni mmoja wa watu wanaoheshimu taaluma za watu, hivyo natanguliza heshima kwa yeyote atakayenipa ushauri wa kitaaluma juu ya hili: namna ipi nzuri ya kutunza battery ya laptop? (a)...
Ninauza vitabu vya microsoft certifications server 2003 training materials, ni original microsoft books kwa anayevihitaji nitamletea popote alipo ndani ya dsm, karibuni wana IT.
Kuna wizi mkubwa unaendelea kwa sasa nchini katika akaunti za wateja wa NMB kupitia huduma yao ya NMB-Mobile.
Wizi huwakuta zaidi wateja wa NMB-Mobile ambao wanawasiliana na akaunti za kupitia...
Wakuu baada ya notifeki kutaka kuwakamua mipunga, mi naweka hii app ambayo kkiukwel unaturn into infinity drive. try it and give feedback: Bitcasa Infinite Storage | Your External Hard Drive in...
Hi
Mambers
Sorry,I would like to get some help on how to create transparent drop down menus like the ones found at this site.If you have the knowledge or you know a link with materials that can...
ndugu wana jamvi, salaam!
Nimepiga window7 (ambayo haina keys) kama miezi mi3 iliyopita na sasa imeanza ku disable features kama display na internet..
Kuna mdau akanijuza kua ni kwa sababu cku...
Hi
There is a software that can help you recognize if the web you are visiting is trusted or not.I have been using this software for more than six months(security first) and it is nice.It gives...
Hello wanajamvi, samahani kwa mwenye kuelewa sheria ya Tanzania juu ya uandikishaji, umiliki na uuzaji wa domain names kwa hapa nyumbani anisaidie,
Na je ni kosa kisheria kusajili na kumiliki...
Habari zenu wanajamvi me nina pc yang ni desktop compaq kila nikiiwasha inaandik going to sleep halaf inakuwa black secreen lakini mashine inaonyesha iko on isipokuwa monitor ishaandika hvyo ndo...
Heshima zenu wakuu!!
Mm natumia Nokia E5 kinachonikwaza ni kwamba text sms zote na comment zote za marafiki zangu wanazo post na kucomment facebook zote zinaiingia ktk email yangu ambayo ni...
Hello wanajamvi, samahani kwa mwenye kuelewa sheria ya Tanzania juu ya uandikishaji, umiliki na uuzaji wa domain names kwa hapa nyumbani anisaidie,
Na je ni kosa kisheria kusajili na kumiliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.