habari wadaukama kinavyojieleza kichwa cha mada hapo juu,naomba msaada wenu jinsi ya kubadili sauti kutoka uhalisia wake na kuwa ktk msikikomwingine kabisa kiasi cha ile sauti ya mwanzo...
NAIROBI, Feb 17 (BERNAMA-NNN-KBC) -- Software giant Microsoft has launched its latest Windows 7 operating system in Kiswahili in a move intended to allow more than 150 million Swahili speakers in...
Guys, laptop yangu imeloga leo, kila ninapoiwasha inaniletea ishu ya kuingiza HDD PASSWORD and mie sijawahi kutumia pasword, kila mtu nikimuulza anakataa_
please kama kunamtu anaweza kutoa...
heshima kwenu wakuu huwa nnanunua collection ya dvd's za movie kutoka china but kuna jamaa kanionya kuwa unaweza kudowload kutoka ktk sites kama bit torrent etc so nnaomba msaada wa jinsi ya...
Kwenye simu yangu ya nokia ..tokea jana kila nikipiga simu inaandika ..note:you have active diverts..sasa sijui imetokana na nini halafu hata na wenzangu hapa wamepata hilo tatizo.Je kuna namna ya...
wakuu nahitaji kudownload au ku watchseries flani kutoka dramafever.com but server zinaniblock kwamba "this service is available only for north and southern america"
je kuna namna ya kuficha nchi...
huyu kaburu ni jarani yangu,ana wireless yenye speed kali sana,yaani download ni 12mbps,sasa nimeweza ku hack na kupata pasword yake,
kila siku tunakula internet ya bure,sasa issue hapa nikienda...
heshima kwenu wakuu huwa nnanunua collection ya dvd's za movie kutoka china but kuna jamaa kanitonya kuwa unaweza kudownload kutoka ktk sites kama bit torrent etc so nnaomba msaada wa jinsi ya...
Habari wakuu,
Nimenunua simu ni T-MOBILE SAMSUNG GALAXY 4G, simu hii inanikorofisha sielewi nilibonyeza kitu gani...tatizo nikitumiwa sms inakuja na namba nisizozielewa badala ya jina la...
naombeni msaada wa link itakayo weza kunrahisishia kudownload vitu vipya kma movies na mengineyo? natafuta sana series ya spartacus season 3 nimeshindwa kuipata kwa mtandao.. naombeni msaada wenu...
Wandugu,nna madish 2ya ft 6,na receiver ya strong 4653x,nataka kuset satellite hizo hapo,naanzaje?mi najua tu dstv ipo 36'E,na hiyo paksat iko karibu yake au?na vp kuhusu amos 5,nani amewahi...
Zora Ball, 7, becomes youngest person to create mobile app video game
Seven-year-old Zora Ball has become the youngest person to create a full-version mobile video game application. The...
habari zenu wakuu
nina blackberry curve8520 yani tangu nibadili Os4.6 kwenda 5.2 kila ikiwa standby screen inakuwa white naikiwa hvyo siwezi kufanya chochote mpaka nizime then niwashe tena, so...
Habari za Miangaiko Waheshimiwa. Laptop yangu kila nikijaribu ku_Connect katika Internet inaniletea ujumbe huu 'A
connection to the remote computer
could not be established' ujumbe
huu unakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.