Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Embu tizama hapo chini au check na hapo iphone 5 With Transparent Display - YouTube
2 Reactions
39 Replies
4K Views
umepita muda sana hakuna taarifa juu ya vituo vya Mlimani Tv, C2C, CTN, Tv Tumaini nk.. mwenye kujua upatkanaj wake atupe myeti
0 Reactions
9 Replies
4K Views
MWENYE PC DVD YA FIFA 13 ANIFORWADIE CD KEY (ONLINE PASS) NIPATE UWEZO WA KUCHEZA ONLINE AU DOWNLOAD LINK YA FIFA 13 YENYE UWEZO WA KUINGIA ONLINE pleaseeeeee!!
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Wakuu simu yangu Nokia 2730, imekuwa slow ghafla, pia haipokei wala kutuma sms, inajibu message memory not ready kwa zaidi ya siku 3 sasa, nimejarib kuiformat (hard reset) but kwenye memory...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu nimepata tatizo la flash nikitaka kuiformat au kukocpy kitu inaadnika write protected Aina ya flash ni IMATION 4GD nifanyaje kutatua tatizo hili. THANKS
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Wakuu habari za muda huu natumai hamjambo. Naombeni msaada wa kimawazo kati ya hizi njia mbili za kusafirisha mawimbi ya picha na sauti ya chaneli kwenye umbali wa km3 ni njia ipi ni ya gharama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf naomba nisaidiwe software inayoitwa 'adobe master collction cs3, au cs4 au hata cs5 ambayo ni full ili niweze kuendeleza ujasiliamali wangu wa editing. Ndo nimeanza kujialiri hivyo bado...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Wakuu poleni na majukumu,naombeni msaada kuhusu hii simu blackberry 8100,juzi nilimpa fundi abadilishe housing,baada ya matumizi ya masaa kadhaa nikaizima simu kwa mda nilipokuwa mahali flani kama...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Nina simu ya mchina samsung S5690. simu hii inatatizo kwenye internet. kwamfano nikifungua facebook inafunguka mpaka kwenye ile sehemu ya kulogin ila nikisha login ina load afu inakuja message...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Naombeni msaada wenu.Ninatumia LG_P970 inatumia android kama OS tatizo langu kubwa simu yangu saiz ipo slow sana hasa kwenye internet connection tofauti na hapo mwanzo ambapo nikitumiwa file...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataka kujailbreak ipad 3 msaada tafadhari.
1 Reactions
3 Replies
907 Views
This post explains how to host javascript(.js) files in blogger itself, so you don't need to worry about bandwidth limitations,etc:- "How to host Javascript files for Free with unlimited...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Reports: Apple exploring a smartwatchNancy Blair, USA TODAY2:22p.m. EST February 11, 2013 Pedestrians walk in front of the Apple store at The Grove in Los Angeles in January. (Photo: Kevork...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani natumia moderm ya tigo na nahitaj iwe inatumia line zote msaada kwa anaefaham jins ya kunlock atakua amenisaidia sana,natanguliza shukran zangu wakuu!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina swali ninataka kuuliza watu wa it.hapa ninapofanya kazi computer zetu wameblock internet, kwa hiyo kuna mtu akanipa ujuzi kasema ukitumia(wanatumia internet browser 9) firefox 14 unaweza...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
tafuta display ya toshiba satelite jamani,ya kwanza imepasuka so inaonesha wino tu hapa....kama kuna mdau yoyote anayo basi naomba niijue ni bei gani then tufanye biashara...pia imekufa haitoi...
0 Reactions
7 Replies
959 Views
Wakuu naomba mnisaidie chanel na frequency zake zinazopatikana kwenye ku band. Nina ungo ft 6 na receiva ya mediacom,fund kafanikisha kufunga chanel za cband lkn za ku bado hajazimaster vizur...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Today NASA is continuing a 40-year tradition of Earth Observation systems watching the earth from space. Landsat 8 is launched aboard Atlas V Rocket. The Landsat mission is the longest continuous...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Hebu nisaidieni kwa sababu niliwahi kuUpgrade processor ya Intel Pentium4 2.4 Ghz kwenda Intel Pentium4 2.6 Ghz na Desktop nayotumia ni Dell Optiplex GX260 series sasa umeme ukiwa mdogo huwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna application moja inaitwa, "One Browser" nimeipenda sana maana tokea nimeanza kuitumia imekuwa ikinipa uraisi wa ku browse na kudownload kwa wepesi zaidi, alafu inakupa uwezo wa kufungua pages...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom