Naona kipato changu kulipia ving'amuzi kinakula sehemu kubwa ya mapato yangu ambayo naweza kujutia siku zijazo ,nikipiga hesabu naona natumia fedha nyingi kwa ''anasa ''ya kulipia ving'amuzi sasa...
Habari zenu wakuu?jamani nimerudi tena baada ya kuomba msaada jinsi ya kuchukua hela benki kwa m-pesa,kutokana na maelezo niliyopewa nilitakiwa kupiga *150*03# lakini nimejaribu wananiambia mpaka...
Haya wana sayansi wa jf, nina swali langu hapa. Bila shaka mmesha waona wale wadudu ambao hutoa mwanga wa kijani usiku, mwanga huo huwaka na kuzima, hivi ina maana wadudu hawa wana umeme kama sio...
wana jf amani iwe juu yenu.
wakuu natumia android dabo line ambayo inayojulikana kwa jina la eastcom, lkn ina muonekano na function sawa na htc, hii cm wametengeneza kina huha,china, na nlipewa...
Wakuu naomba mnisaidie chanel na frequency zake zinazopatikana kwenye ku band. Nina ungo ft 6 na receiva ya mediacom,fund kafanikisha kufunga chanel za cband lkn za ku bado hajawa mzoefu sana...
Habari wana Jf,
Naomba msaada wa michango wa mawazo na ushauri kwa wale wenye uzoefu na IT. Ni wapi wana mafunzo mazuri? Ada yake ni kiasi gani kwa ngazi ya Diploma, na chuo ambacho ni kizuri kwa...
naomba kuelekezwa jinsi ya kuperform hard reset,or kurestore factories kwa cmu yangu,model yake ni HTC TOUCH CRUISE T 4242 09,POCKET PC,os ni windows 6.1 proffesional,
pia kama inawezekekana...
Crazy Hack 1 Edit any webpage..
Go to any web page, clear the address bar, and paste this..
javascript:document.body.contentEditable='true'; document.designMode='on'; void0
and hit enter...
Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa anayefahamu kama inawezekana kuchukua pesa benk ya crdb kupitia m-pesa au airtel money,anisaidie maelekezo jinsi ya kuchukua yaani nipo kijijini ndani ndani...
Wadau naomba msaada nimepiga picha kwa digital camera nataka kuzi upload kwenye fomu inayokubali picha zisizozidi 30kb nashindwa kuzipunguza zinanizingua.
Jaman naomben msaada wa kuattach picha
naomben njia au nifanye nini?
jaman natumaini ni wazima!
natumain anayeuliza anahitaji kujua coz hakuna aliyezaliwa anajua
mara nyingi huwa natumia...
Habari za jioni wanajamvi
Naomba ushauri juu ya aina ya laptop ya kununua ikiwa nina laki sita mkononi kwa ajili ya laptop.
Nimejaribu kuzunguka nikakuta kuna laptop aina ya samsung ambayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.