A rumored standalone Facebook app would broadcast your location to all your Facebook friends whether you are using it or not. Finally, stalking without all the hard work!
This week's show is...
habari wakuu... Ebwana haka kajisimu kangu ilikuwa ghafla tu camera ya nyuma inagoma kugonga picha... "'ni kwamba ukiclick camera icon inafunguka na kubakisha rangi nyeusi tupu bila lens ya camera...
Ndugu wanabodi nashangazwa sana kwa msimamo wa kampuni ya Multichoice ambayo inatoa huduma ya kuonyesha chanel za TV za digitali nchini kwa kupitia DSTV.
Kampuni hii haijaonyesha nia au tuseme...
jaman natumaini ni wazima!
natumain anayeuliza anahitaji kujua coz hakuna aliyezaliwa anajua
mara nyingi huwa natumia sana simu lkn nikitaka ku upload picha huwa inanikatalia na hiki hii wiki...
jamani wandugu ujinga wangu ni huu,na tsh 600000/=nataka kwenda nunua laptop brand new,ila cjui kama ntapata,na kama ntapata au zinapatikana sijui aina gan ndo zinakua nzur..mf...
Wataalam ninajileta kwa msaada,natumia sony vaio cr220e,tokea nimeweka window 8,kipengele cha skype na webcme kwa ujumla nime kwama,nipeni maujanja wadau,kama kuna namna ya kuiamsha,nijejarbu ku...
Kati ya nokia n9 na galaxy s3/s2 ninunue ipi? Kwa maana n9 haina apps nyingi kwenye market yake isitoshe nokia wameuza os yao ya meego na galaxy s3/s2 hazikai na charge..wenye ufaham fungukeni
Wadau, tafadhari naomba msaada kwa mtu mwenye visio drawing software unisaidie, au hata kama unaijua website ninayoweza kudownload ninaomba unisaidie, ninaihitaje kwaajili ya kuchorea DFD (data...
Habari zenu wakuu?nilikua ninaomba kwa yeyote anayefamu ni aina gani ya laptop ukinunua mpya huwa ina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu,naombeni ushauri please kwani nimefikilia kununua dell...
Wakuu nataka kupata min laptop ya kuweza fanya kazi zangu in mobility zaidi. Mostly natumia gadgets kama Virtual dj, FL Studio na downloading tasks. Nimepata models mbili ni ambazo Acer Aspire One...
Wakuu leo Nimefunga Satelite Dish langu la 6" ina receiver ya Mediacom. Naomba mnielekeze jinsi ya kuinstall Free Station za hapa kwetu Tanzania. Hapo nimekwama kabisa!
Wakuu habari ya ijumaa,
Tafadhali naombeni mhusike na kichwa cha habari tajwa hapo juu.
Kwa kifupi laptop yangu ni mecer Xpression model M74S.Nimehangaika kwa muda mrefu sana kudownload driver...
wadau galaxy tab nilionayo yenye namba GT-P6201 ambayo inatumia firmware 3.2 android version,hili lilikuwa toleo maalum kwa German,sasa ninapotaka kui-update kies zake zinakuwa hazipo sasa swali...
Mliotaka kuona picha ya king'amuzi kinachofungua kwa line ya simu chanel za dstv hasa zile creem pendwa, ni hiki hapo chini tafuta ukikikipata nunua funga kwako ni bomba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.