Wakuu naomba kuuliza jinsi ambavyo naweza kupata huduma ya internet ya nyumbani ambapo naweza kutumia router yenye WIFI hapo Dar es salaam.
Natanguliza shukrani.
Wakuu nina Laptop Toshiba Satelite A70. Natafuta vga driver. Naomba kama kuna mwenye nayo anipatie. Najaribu ku-download lakini tatizo ni connection yangu. Download inakata kabla ya kumaliza...
Hi All,
Don't forget that tomorrow 12th February, 2013 we are going to have our monthly Mobile Monday Dar es salaam event. The event venue is Sea Cliff (Bahari Vista conference room) and this...
Wakuu natumia file fox kwenye my laptop napata tatizo napotaka ku log in na sipati ujumbe kama nimekosea password au vp technical bench toeni ufafanuzi now nimerudi kwenye phone ambayo nimesha log...
ni app ambayo itakusaidia kupata mp3.
xor naona inagoma kufknguka nitaiweka badae!
Mp3 Music Downloader
Gold - Android Apps on
Google Play
https://
play.google.com/.../
details?...
Heshima yenu wakuu...natafuta fundi wa gari aina toyota yenye engine tajwa hapo juu...gari inakuwa kama ina miss miss,ina kosa nguvu na inajizima mara kwa mara..so kwa mtu yeyote anayefahamu fundi...
mambo vipi wana jf najua hili ni jukwaa la technology na kila mtu ana haki ya kupost kile kinachomtatiza juu ya technology lakini to be honest misaada imezidi na mingine haina hata haja ya...
Habari wakuu
Leo asubuhi nimeamka kuwasha PC baada ya mda ika freeze ikaleta kinote cha blue kenye maandishi!!
Sikuweza kusoma yote haraka maana ilizima gafla!! Yalisema
"A problem has been...
Msaada pliiz! Ipi kati ya hizi ina option nzuri! Hasa usomaji na upatikanaji wa vitabu mbalimbali kwa unafuu zaidi!
Nimekutana na mawazo yanayofanana kuwa product hizi zinafaa kwa VITABU ila ipi...
Dijitali TCRA
Faida za kuacha analojia na kuhamia dijitali kufuatana na Tume ya mawasiliano Tanzania kama anavyoelezea John Kitime
video kwa hisani ya jkitime wa youtube
download picha za chini chagua moja unayoipenda na uedit utakachopia unaweza kutoa background na kuweka unayopenda
ZAWADI:INTERNET BUNDLE 100 MB
WANA JF WOOOOTE MNAKARIBISHWA UWE MKONGWE AU...
wataalamu naomba msaada nimesahau passowd ya tnm nahitaj ku-unlock,hivyo nakosa mawasiliano na hii ndiyo simu nayotumia na ndiyo tegemez..kama kuna njia mbadala mnisaidie
baada ya kuhangaika siku mbili mfululizo kupakua windows 8 enterprise evaluation package, nimeinstall na inaniambia nna lesen ya kuitumia kwa siku 90 tu kuanzia leo. wakati nadownload walinambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.