Sometime kutumia opera mini hasa kwenye simu ambazo sio smartphone na hazina multitasking ni boring sana, kuna vitu unakua unawish kufanya lakini huwezi kufanya kabisa au huwezi kufanya hadi uexit...
History of Microsoft Windows
Those days when computers were invented, their usage is possible only for some computer geeks or in respectful terms, programmers (but geek cool'na ). But today even...
Jana katika matembezi yangu nikiwa kwenye daladala nikitokea makumbusho kuelekea magomeni,nilipo fika maeneo ya komakoma-mwananyamala walitokea vibaka na kuchukua cm yangu niliyokua nikitumia...
Waungwana
Kwenye Android phones kuna anti-theft software, nyingi zinapatikana bure. Hiyo ya Avast, ukishaifanyia Rooting, inajichimbia ndani hata wakiflash simu inabakia humo ndani.
Je, kuna...
msaada jamani simu yangu ya blackberry imegoma kupiga picha kila nikijaribu inaload tu bila mafanikio.hii imeaanza baada ya kuwipe security:smile-big::smile-big:
Habari wakuu! Eti ni simu gani ambayo inakuwa na ile ya kurecord calls, yaani wakati unaongea na mtu unaweza kurecord conversation.
Kuna zile Samsung za zamani E 250
zilikuwa na hiyo...
Wadau nina tatizo na Laptop yangu ina zingua sana inakuwa inazima na kujiwasha na kisha inaleta blue screen na maandishi mengi sna kisha ikitulia inafanya kazi wakat mwingine inaleta mistari...
laptop haina tatizo kubwa,natakiwa ku-install windows7 lakini ina tatzo la drivers,so inabd kuweka drive mpya. wap naweza kupata msaada huo na gharama zake zikoje?
Simu Bora 2013 Mpaka Sasa
Wakati kampuni mbili kuu zinazotamba kwa kutoa simu bora bado kutoa simu zao kuu za mwaka 2013, yaani Samsung Galaxy S4 na iPhone 5S/6, kampuni nyingine zote kubwa...
Are you in mainland (Tanzania) or island?
Is there a 3G coverage in your area?
Are you bored with limited data plans on mobiles?
>>Change the plan..
Go unlimited at just 300/= Tsh per day!
Write...
Naomba anayejua freq za chanel za mambo yetu yale ya kiutu mzima.pia zinapatikana kwenye sat ipi?ila ziwe fta.natumia risiva strongmpeg4 4669x pamoja na astrovox hd
Nina kama miezi 6 hivi nilibadilisha ps2 yangu ikawa inatumia flash drive yaani McBoot lakin juzi mashine imekataa kufanya kazi.... Nikiwasha inaonesha black screen
Wakuu tv ya kwanza ilikufa kioo kilibadilika rangi na kuwa chekundu chenye mamistari fundi alijaribu kwa sumaku na njia zingine ikashindikana saiz nimenunua nyingine naona tena dalili zilezile za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.