hakuna mtandao tangu juzi hata kidogo... sasa sijui hawa "wataalamu" wanafahamu au wanakaa tu maofisini kupiga stori. Inakera sema sina wakumlamba kofi.
Habari wakuu
Msaada wenu kama kuna uwezekano wa kudownloaad music toka youtube. Na kama haiwezekaan ntapata wapi new music kiraahisi?
Natumia simu
Please help
Tafadhali natumia laptop asus 64bit os,mudamwingi inakuwaipo connected ktk charge lkn kwa sasa inkuwa inapata moto,ijapokuwa ninatumia pia feni ya laptop ya nje lkn bado mashine inapata moto,je...
Guys katika pita pita zangu nkaona niwatafutie viwango vya internet ambavyo ni latest vya mitandao yote ili tuweze kuangalia wapi pa kuegemea.
vodacom packages
Hawa jamaa viwango vyao vipya...
Natumina Note II ila natatizo moja play store haifunguki inalete ujumbe kila mara ikiload ''connection timed out'' ila samsung app inafunguka vizuri na kudownload apps naweza.
jamani naomben maada wenu jinsi ya kutumia ipad 3 maana najaribu kurusha vitu kutoka kwenye pc..ila inasema device iko busy....wataalam nisaidieni kwa ili....awa apple...
Wakuu habari za sasa hivi, poleni na misiba ya maaskofu wetu.
Wadau nina TV aina HISENSE na natumia decoder ya Dstv. Sasa hii decoder nimeunganisha Tv mbili moja chumbani na nyingine sebuleni. Ya...
HABARI WAKUU?
naomba msaada juu ya nini la kufanya blackberry yangu imegoma kufanya kazi ghafla...nikiwasha ina load mpaka mwaisho then ina stack kwa mda mrefu, kisha inawaka hapo inaniandikia...
Wadau, naombeni msaada kwa mwenye camera ya Sumsung, nikitaka kurekodi video haichukui sauti, inachukua picha tuu, nimeangalia settings zote sijui ni wapi pameguswa. Msaadaaa mnijuze!!!
Naomba anayejua anisaidie, simu yangu Nokia 5250 screen yake imegoma siwezi kufanya lolote wala siwezi kufika kwenye sehemu ya ku calibrate naomab msaada nifanyeje?
Habari wadau!
Naomba kuuliza kwamba hivi kampuni za simu mfano vodacom au tigo wanapotaka kuweka huduma ya 3G eneo ambalo lilikuwa linapata GPRS au EDGE, je wanafunga kifaa chochote kwenye minara...
Jamani wadau naomba kuuliza hivi karibuni nikiwa Mjini Morogoro nilikutana na mtu mmoja anauza Nokia 808 na I phone 4S na leo tena nimekutana na mtu Tanga anauza Nokia 808 na I Phone 4S. Sasa...
KATIKA PITA PITA ZANGU LEO NIMEKUTANA NA HII SITE, KUWA KILA UNAVYOZIDI KUWAALIKA WATU WAJIUNGE NA HIYO SITE UNA EARN DOLA MOJA NA MALIPO YANAFANYIKA KILA MWEZI KUPITIA WESTERN UNION...SIJAJUA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.