Habarini wanaJF kuna tatizo nimelipata kwa mda kidogo..... Nikitumia modem kwa mda fulani ikiloose connection kidogo then nikitaka kuconnect tena napata hii msg
Error 619: the connection was...
Tuma neno 1 kwenda 15030 kwa gharama ya Tsh600 na upate Tsh6000 muda wa maongezi kupiga Voda, tuma SMS na internet kwa siku 7. Ofa hii ni hadi 17/03/2013. From: 15030
11:07 4.3.13
Kama...
Waungwana nahitaji kuwa programmer si kwa minajili ya kuajiliwa hapana kwan mm ni mwajiliwa pale MMP ila napenda tu huo ujuz.
Nawezaje kuwa hvyo pasipo kupitia chuo? Kama kuna mtu anaweza kunipa...
Wakuu kuna hizi mesage za minara kwa kweli zinaniboa sana na sijajua zilianza vipi kuingia kwenye simu yangu, make nimejaribu kucheki watu wa Airtel wananiambia ni seting, ila hata nikibadili simu...
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kwa yeyote yule ambaye ni mjuzi wa mambo ya window na ku boot,ni hivi pc yangu ilikua na windows 2,kwa hiyo ilikua kila ukiwasha inakuletea ile option ya...
Nimejaribu kutengeneza website, ni ya kwanza lakini kwa sababu nia ipo naamini mwisho wa siku itakuwa poa. Hebu tujaribu kuipitia. Bofya hapa chini.
My friends sharing junction | Wix.com
Chanzo: Gajetek - Gajet na Teknolojia
Wakati watu wengi huchukulia kuiba si kitendo kinachotarajiwa kufanywa na muungwana, kuiba media; yaani muziki, video, apps, ebooks na aina nyingine ya...
hi wanajukwaa,,,nimesikia redion wakitangaza kuwa modem za zantel sasa zimeshuka fro 30000 mpaka 15000,,,kwa ambaye kasikia nakuona basi atwambie hii ni modem model gani,,,specifications zake...
habarini wanajukwaa,matatizo ya computer na teknolojia ni makubwa hasa huku kwetu,hivyo kwa kuonelea hilo tumekuwa na web yetu ambayo inafundisha hatua kwa hatua za jinsi ya kutatua matatizo...
Habari za wakati huu waungwana.
Kama unaweza kupata masaa 2 tu kwa siku na unapenda kujifunza kudesign na kuhost website au blog kwa lugha na namna nyepesi na unaishi dar, wasiliana na mimi kwa...
kuna anti-virus kadhaa za simu. Anti-virus hizi hutofautiana kadiri ya aina na toleo la simu, mfano NetQin kwa ajili ya Nokia.
Naomba kuuliza, je anti-virus hizo zina uwezo wa kuilinda simu...
Nina rafiki yangu anaomba msaada wa nini cha kufanya. Akiwasha computer yake, inatoa mlio kama inawaka lakini haionyeshi kitu chochote kweny screen, je tatizo litakuwa nini? Mwenye mawazo ya...
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba kama kuna anayefahamu,ni hivi juzi kuna rafiki yangu alikuja na cd yake ya windows 7 ultimate sasa nikai burn kwenye dvd kama file la kawaida,sasa ninataka...
Unless the hardware ugrade which has produced Samsung galaxy S4 like 4-core chipset processor, upgraded screen protection by the new corning gorilla glass 3 means much to you, you do not have to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.