Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hivi digital TV nayo inahitaji decoder?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello everyone. I have few questions about android phones and it's usage here in Tanzania. 1. Roughly, how many people use 2. If you do own one, what app stores do you have access to. Why...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wana bodi, tafadhali nijuzeni wapi (kwa hapa Tanzania) nitapata cd (audio & video) kwa ajili ya watoto kujifunza mambo mbalimbali ya kitaaluma ikiwemo lugha ya Kiingereza, masomo ya sayansi n.k...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Vinauzwa posta 48 elfu tu unatazama ligi zote maarufu na local zote
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada wenu. Nina kifaa hicho hapo juu nilikipata kikiwa locked sasa nikanunua unlock codes ambazo nilifanika kukifungua. Baada ya matumizi kama miezi sita hivi imejifunga tena na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa kweli nimetumia mitandao karbun yote.....ila sasa nataka kujarbu sasatel......maana nimechoka kwa manyanyaso hasa toka kwa niliowapenda (VODA NA TIGO) nisaidien jaman!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Material ya o'level kama civics, hist, english... Kwa mfumo wa tz naweza kuyapata kwenye tovuti gani?? Tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauliza tu wakuu... Hivi vingamuzi nya startimes na vinginevyo (ukitoa dstv na zuku na vinginevyo vinavyotumia madishi) hivi vinhamuzi vya kawaida tu, je inawezekana kuunganisha dishi kwenye hivi...
0 Reactions
3 Replies
980 Views
Inauzi sana kuna ma-TV station hapa nchini yapo FTA lakini yanarusha matangazo yao kimagumashi sana! Kwa nini hamjifunzi kwa wenzenu? Ni nini shida? Mfano: Channel 10, TBC1, Star TV etc... Natoa...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Inauzi sana kuna ma-TV station hapa nchini yapo FTA lakini yanarusha matangazo yao kimagumashi sana! Kwa nini hamjifunzi kwa wenzenu? Ni nini shida? Mfano: Channel 10, TBC1, Star TV etc... Natoa...
1 Reactions
0 Replies
884 Views
Wakuu hii mashine nikiiconect kwenye charge inaonesha charging but inastuck kwenye 6% hapo hapo bila kuongezeka hata ukikaa masaa 24. any resolutions plz?
0 Reactions
0 Replies
893 Views
wadau nimekuja na hii taarifa kuwa star tv inapatikana katika dstv kupitia channel 291ie baada ya tbc.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The government has been challenged to speed up the formulation of laws and the Information and Communication Technology (ICT) Policy so as to protect the National ICT Broadband Backbone (NICTBB)...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Kuna anayeweza nisaidia kunielewesha jinsi ya kujiunga na huduma ya Android kupitia mtandao wa Airtel?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF mwenye key za Kaspersky Internet Security 2013 naomba anisaidie, hapa natumia trial ya siku 90. Kama naweza kupata ya mwaka natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nina laptop aina ya dell latitude D820 yenye win 7, ukiiwasha inaleta maandishi DELL, BIOS revision a10 na haiendelei zaidi ya hapo. Naomba msaada wakuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salamu kwenu wadau, Naomba kama kuna mjumbe aliye na details za kutosha jinsi ya kujiunga na huduma ya hawa jamaa ikiwa ni pamoja na bei ya vifaa vyao vyote na subscription fee. Nao wanaonyesha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wataalam nisaidie namba za chanel ziruhusu chanel kuhama, hapa kwenye remote control niki bofya 6 ktk scren inaandika 6 ila haibadili station iliyopo na kuifata statn iliyo ktk namba hiyo...
0 Reactions
4 Replies
990 Views
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la vyuo vikuu nchini Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyengine duniani.Kilicho wazi kwa Tanzania ni kuwa ongezeko hilo la vyuo vikuu hakujasaidia kutoa wasomi wanaoweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habarini za leo Naomba msaada wa kuactivate office 2013, nikifungua word 2013 inakuja msg inasema product activation failed, afu inanipa option ya activation wizard msaada tafadhali
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom