Sasa kitu cha window 8 kikiwa na touch sreen kishazinduliwa na Microsoft hawa jamaa hata wakizidiwa ujuzi fulani na kampuni zingine lakini bidhaa zao ni poa na bei poa na zinaviwango vya kati so...
Habari WanaJF,
Naomba mtu anayefahamu jinsi ya kupata (subscription) 5 digit number na gharama zake zinakuwaje...?
Kama kuna njia kadhaa basi ipi ni bora?
#Shukran
Sent from my BlackBerry...
Kwa wale wapenzi wa game tafadhali ambaye anaweza kuwa na crack au serial number la game hilo hapo juu(acb )plz naomba anisaidie maana kila ninayopata net inakataa
Thanks in advance
Yours...
Hellow ndogo zangu,.. nihitaji ufumbuzi juu ya suala hili kwa yeyote anaeweza kunisaidia. ni hivi nahitaji kupata camera kubwa ambayo ina uwezo wa kushoot video za music pamoja na film nahitaji...
Hellow ndogo zangu,.. nihitaji ufumbuzi juu ya suala hili kwa yeyote anaeweza kunisaidia. ni hivi nahitaji kupata camera kubwa ambayo ina uwezo wa kushoot video za music pamoja na film nahitaji...
Habari zenu wana Jf,,
kuna tatizo linanisibu, lililoanza mara tu baada ya kupiga windows kwenye mashine yangu.. Tatizo lenyewe ni giza kubwa kwenye display!
Naomba mwenye kufahamu ni vipi naweza...
Habari zenu wakuu!!
Nina degree ya IT na pia nilijiendeleza kwa kusoma professional course za CCNA na MCP na kufaulu na kupata vyeti na ninaujuz wa kutosha baada ya hapo niliamua kufanya kazi ya...
Jamani naomba msaada kwa anayejua kuunganisha wireless connection kwenye laptop natumia window 7 starter. Nimejaribu kuunganisha kwa njia ya kawaida ila bado imeshindikana. Nawasilisha
The 17 Most Dangerous Places on the Web
The scariest sites on the Net? They're not the ones you might suspect. Here's what to watch for and how to stay safe.
Those photos of Jessica...
Habar za weekend ba ndug nina modem ya airtel nlipurchase last year dom mwez uliopita ilianza mauza uza ambayo ckuelewa maana yake ni hv. Nikiwa nimekonect intanet inapotea hewani ghafla bila...
Habar wadau,jamani naomba mwenye uwezo anisaidie kunitengenezea LOGO iwe na michoro ya watu au watoto wadogo
LOGO iwe na maneno yafuatayo
HILSWO
KAULI MBIU YAKE NI:Bringing hope to the Society...
Jamani kwa muda kama wiki mbili huwa napata scratch sana kwenye Zuku hasa wakati wa usiku lakini kwa mchana channel zote zinakuwa hazina matatizo ,channels ambazo ukifika usiku signal hupotea ni...
Need help!
Can anyone help me? I have a system installed in linux server. with window 7 I can only access the front page of it but unable to log in. only i can access and log in, in window XP and...
Wadau habari zenu kwa ujumla Channel ya Pakistani inaonekana inapatikana hapa Tanzania vizuri beam ndo inavyoonesha lakini nimetafuta mpaka nimebaki hoi ni zaidi ya siku tatu nimeambulia patupu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.