Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naombni msaada ambaye ana uwezo wa kunifanyia survey na kunidownloadia hili text file FileIce LLC maana nimejaribu kila njia nimeshindwa
0 Reactions
2 Replies
658 Views
Nili lock folder kwa cmd D:cacls "folder name" /p everyone:n (press enter) and to unlock cacls "folder name" /p everyone:f (press enter) mwanzo ilikuwa inafanya vizur ila sasa hvi nimelock ila...
0 Reactions
6 Replies
991 Views
Ni imani yangu kuwa unaikumbuka channel ya e TV ambayo ilikuwa inapatikana katika intelsat at 68 E degree KU,ambapo kwa sasa ni scramble channel,je ni angle ipi inapatikana free??
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Najua humu mnasoma ila kusoma email za kazi ama za ofisi isue......!
0 Reactions
0 Replies
923 Views
tatizo na pc yangu ni kwamba inafanya minimization automatically lets say nikiwa .nacheza gemu lolote lile after some seconds linajiminize kwenye taskbar na ukirestore again it will repeat the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima mbele wadau.. naomba kujuzwa kama ni kweli kuna uwezekano wa ku lock usb port kwenye computer ili mtu anapochomeka flash disk isiitambue mpaka aweke password.. pia jinsi ya ku ficha...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Habari zenu wote? Kuna watu wanauza au kutembeza charger za simu zinazotumia betri ndogo, watu hawa huziuza charger hizi au kwa kuziweka dukani au kuzitembeza kwa minajili ya kuwaondolea usumbufu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau.Kuna jamaa yangu anataka kuniuzia computer ya mac os x ninataka kuitumia katika mambo ya audio & video editing lakini nimekwenda kuijaribu.imenitoa ushamba kwani ni tofauti kabisa na hizi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
A newly discovered exploit in a technology standard known as “universal plug and play” (UPnP) is big enough that hackers on the Internet could remotely access and control “millions” of compatible...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Wakuu natumia TRITEL kama ISP ya 3G yangu. Tatizo ni kwamba nikiweka bundle ya 100MB, inaisha ndani ya masaa 19 tu au chini ya hapo, WITHOUT DOWNLOADING. Mara nyingi nakuwa JF, FB, google au size...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kutoa pasword kwenye zuku, nimesahau pasword yangu ambayo naitumia, mwenye ujuzi juu ya ku unlock pasword naomba anifahamishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu! Natumaini mnaendlea vizur na ujenz wa taifa hili! Mimi kilio changu ni hzi terminologies nazokumbana nazo bila kujua nini maana yake na znasaidia nini! Naomben kujuzwa nini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Reference: Programmers bad habits - Krzysztof Zab?ocki We evolve and change our habits, probably many times every few years. Your code style changes, your approach to writing code in...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Habarini za mchana wakuu, iPad yangu imedondoka umbali wa meta moja, haijapasuka kioo lakini haiwaki tena. Naomba mnijulishe ni wapi naweza kupata fundi wa kunitengenezea au wapi kwa hapa Dar...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Habari zenu wakuu!! laptop yangu ni Lenovo g570 ilikua na window 7 ultimate 64 -bit,ilikorofisha nikaiformat nikairudishia window 7 ultimate 64bit,tatizo linakuja haikubali kuinstall baadhi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hiyo ndiyo blackberry Z10 wale wapenzi wa apple, poleni sana!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ps3 yangu inazima na kuwaka yani ukibonyeza the standby red light inawaka green na kuturn red kuna mtu yoyote anafahamu tatizo hili.
0 Reactions
0 Replies
729 Views
wakuu naamini hapa kutakuwa na mafundi na watu wenye ujuzi na ufaham wa magari swali langu mm kubwa ni ipi tofauti hasa ya gari za d4 na vvti?? kiundani zaidi utendaji wake kazi faida zake na...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada wadau anakera kweli nimfanyaje atoke
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Back
Top Bottom