Wale wapenzi wa android competitor mkubwa wa iphone na Nokia lumia bwana samsung galaxy s4 atazinduliwa April this year Samsung galaxy s3ilizinduliwa may lastyear lakini s4 atakuwa na...
Habarini wakuu! Mimi naombeni kujuzwa kuw ni modem model ipi ya voda ambayo inafaa kuchakachulika kirahc ambazo zipo madukan kwa kipindi hiki! Natanguliza shukrani!
Natafuta sehemu ya kufanyia field kwa vitu vifuatavyo..
-Database administrator
-System/web design and implimentation using php & html na kwa kutumia joomla cms.
-System administrator
-computer...
habari jf
nilikua naomba msaads wenu wa kujisajili ns blackberry service airtel maana customer service ipo busy
na garama zake kwa week if you are aware
thanks
Habari wakuu
Mara kadhaa huwa laptop yangu inaganda kisha napata black screen halafu inarudi kama kawaida na ujumbe huu unakuja:
Display driver stopped and has recovered: Display driver intel...
Earn money from your own affiliates
With the MobPartner affiliate referral program you can earn even more money by referring other publishers to MobPartner. This translates to 5% additional...
Read:
​BE a Spatial Information Technologist
MUST College offers a short Course for Professionals
Course Contents include:
1. Basic GIS Using MapInfo
2. Basic GIS Using ArcGIS...
Msaada wana jf nilkuwa nipo online ghafla ukaja ujumbe kwamba computer yako imekuwa blocked for violation of us rule kila NIKIWASHA nakutana na ujumbe uleule na unatakiwa ulipe faini ya usd 300...
wakuu hii simu nimeiona pale mlimani city....je nataka kufahamu capacity yake na je ni smart phone kweli kama blackberry? nataka kununua...kawaid simu zangu huwa naziunganisha na mtandao wa bank...
Just like a chicken, your life started off with an egg. Not a chunky thing in a shell, but an egg nonetheless. However, there is a significant difference between a human egg and a chicken egg that...
Mwenye original pc cd ya fifa 13 anisaidie cd keys au kama umedownload fifa 13 yenye uwezo wa kuingia online naomba unisaidie link ulipo download please
nikiingia inaleta massage kama hii msaada wajameni
Access to the webpage was deniedYou are not authorized to access the webpage at http://kat.ph/. You may need to sign in.
HTTP Error 403...
wakuu mwenye link ya watu wanao toa education online ya mambo ya computer
aweke hapa basi lkn waisiwe wanatoa degree bali elimu chini ya hapo
pia itapendeza ukiongelea na malipo pia
Habari waungwana wa Jf,
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuweza kudownload nyimbo ziliko kwenye MUZIKI NET, sio siri kuna nyimbo za makabila mbalimbali ya hapa nchini nazipenda sana ila nimejaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.