Hi guys, mi ninataka kununua digital camera, ila sijui ninunue ipi, au ni ipi nzuri kati ya samsung(16 megapixel) au sony (14 megapixel). Naombeni ushauri wa ni ipi nzuri zaid, na maana ya hizo...
Wadau wenye cobla tuongee biziness nataka kununua driver yangu cobra 2010 by muhamed ally imearibika so nahitaji kama unayo au mtu anielekeze zinapouzwa nitashukuru npo dar wakuu
Habari zenu wakubwa,
Nina maswali machache kuhusu hizi mashine za TRA (ELECTRONIC FISCAL DEVICES) kwa upande wa software development pale ninapohitaji kufanya integration na accounting software ya...
Wakuu kama kuna mtu ana njia ya kunisaidia kuinstall call function kwenye hii kitu. Nasikia siku hizi inawezekana. Mwenye maujuzi tafadhali.
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
baad ya kutoa simu za xolo india intel wameendelea kutoa simu zinazoitwa yolo kwa ajili ya africa.
specification hawajazitaja sana ila wamesema processor 1.2ghz screen 3.5 inch yenye...
Habari zenu wanaJF? Mimi ni mgeni hapa JF.
01. NINAOMBA KUELEKEZWA JINSI YA KUWEKA PICHA HAPA JF.
02. Na JINSI YA KUUNGANISHA LINK JF na mitandao mingine.
03. Pia JINSI YA KUNGANISHA Thread...
NTSB tosses the BlackBerry in favor of the iPhone
Another U.S. government agency decides to drop RIM's beleaguered device because it has been "failing both at inopportune times and at an...
samsung galaxy s3 au galaxy note 2 ni kati ya simu zinazosifiwa sana kua ni advance na hata bei zake ziko juu, check tips zifuatazo zinaweza kukusaidia kuokoa gharama kwa kununua simu mbadala...
ndugu naombeni msaada wenu...nimedondosha iphone yangu na kioo kimealibika hiv kwel kwa hapa tanzania nitapata wap display.....na kwa anayejua bei anitajia....hii serious jaman nashida
Habari za kazi ndugu wana JF. Naombeni mnisaidie jinsi ya ku-activate key za Window 8, nimetoka kuiweka sasa hivi kwenye Pc Yangu ila katoka Desktop kuna maandishi " Window 8 Release Preview Built...
jama kuna thread ilikuwepo jinsi ya kudivert call anayepiga unakuwa haupatikani ila msg inakutaarifu kwa voda mie nimepotezaana na hii huduma msaada wenu pls!
Nina wasiwasi sana wa kampuni ya startimes kufungwa kama wasipojaribu kuendana na ushindani, kwani imekuwa kero sana kwa station zao kukatakata, mimi binafsi nachukia kuangalia tv nyumbani kwangu...
Heshima mbele wadau,
Nimetumiwa Android Tablet PC (IntensoTab) from German lakini siona kama ina SIM Card Slot ya kuwekea line ya mtandao wowote wa simu, je nifanyaje ili ku'connect na Internet...
Habari ndugu nimepiga window 7 ultimate min hp compaq 2710p but driver 1 ya pci na network driver imegoma nimetumia window cobra 2010 bado inakataa nikaweka driver update sasa inahitaji licence...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.