Habari wanajamii, naomba kuuliza mahali napoweza kujifunza SAP accounting software kwa Dar es salaam,nataka kujifunza pamoja na kufanya mitihani yake ili niweze kupata Cheti chake
hey guys naitaji msaada wa ku download whatsapp without payn kwenye iphone..kuna m2 kaniambia mpaka u jailbreak cjui chochote kuhusu hii k2 need yo help...i need 2 install this whatsapp...
wakuu mambo vipi? naitaji time watcher kwa ajili ya computer kwenye internet cafe yangu........ nimejaribu kutafuta google but sijapata.. any msaada plsaa
Habari za kwenu wanaJF,
Nimekuwa nikiwaza kuhusu swala la kusoma CCNA kwakuwa ningependa niwe nakaujuzi kwenye mambo ya networking.
Sasa mwanzoni nilijua CCNA ni course moja ambayo unaisoma kwa...
Habari zenu wanaJF,
Ninatafuta vyuo katika nchi zilizoendelea kama UK,USA,Canada,New Zealand na zinginezo ili niweze kupata nafasi ya kusoma masters katika mambo yahusuyo IT. Nimejaribu kufanya...
wakuu kwa wale wajanja wanaotumia na wenye uzoefu na os za linux basi wanisaidie kutengeneza partition ya primary hard disk ,,tayari nishaweka window.series nayo tumia ya linux ni ZORIN OS...
Natanguliza shukurani nina hitaji battery mpya ya laptop aina TOSHIBA PRO L 300,(Toshiba primary 6-cell li-ion battery pack.PA3534U-1BRS).Kwa anayefahamu zinapatikana wapi na kwa bei gani hapa...
nimenunua king'amuzi cha star times, kwa mara ya kwanza nilinunua bundle ya 23000 nikawa naangalia kaeibia station zote. baada ya kuisha muda wake nikaamua kununua cha 9000 nikiwa na matumaini ya...
wakuu nawasalim...!!
Mimi nina Sumsang Galaxy Young GT-S6102 kwa mda mrefu ila tatizo nnalolpata ni uwezo wake mdogo wa kuhandle kuandka sms ya maneno meng;yangu inaishia maneno 457 tu ikzidi...
wakuu mambo vipi? nina cafe ina pc 5 zote zinatumia windows 7 23bit sasa hii moja nimeifanya kama server, nimeistall printer sasa ishu ni kwamba kila nikiweka share printer zile pc zingine hazioni...
Dear colleagues,
The Internet Society will be accepting applications for the May 2013 round of the Community Grants Programme from 04 March to 01 April 2013, (note that applications will close...
Ndugu zangu naombeni msaada wa kudownload game la fifa soccer la kucheza kwenye computer au laptop.
Kama kuna mwenye nalo naomba aliweke hapa tudownload.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.