salaam wakuu,
nina window 7 nimeisave kwenye pc ninayotumia saivi ni ubuntu natafuta msaada jinsi ya kuibadili nianze kutumia window 7 nifanye nini msaada wakuu
natanguliza shukran
facebook na wao wameamua kuingia kwenye game la search engine na kuanzisha huduma yao mpya ya kusearch picha, location ,jobs. Naona huu ni mwendelezo wa vita vya facebook na google maana...
Ndugu zangu naomba mwenye haya maujanja na maujuzi ya block zile Unwanted calls & SMS kwenye simu zangu. Kama kuna specific Codes naomba mnisaidie.
Natumia simu aina ya Samsung E222 na TECNO TV70...
Naomba msaada wataalamu. Kabla ya hii kitu TCRA inaita kuzima mitambo ya analogi, nilikuwa na kingamuzi cha startimes kinafanya kazi vizuri. Walipozima mitambo ya analogi na kuwasha ya dijitali...
Enzi ya cable/satelite tv inakaribia kufa kama ina mwaka ndio huohuo. Soma hii:
Well, it's called Google Fiber. And it could be just as revolutionary as Google's search engine was when it...
Wakuu nashindwa ku install flash player, ni lazima u plagin flash kabla ya ku download, msaada wenu tafadhali. Au nini kinahitajika ukitaka kudownload adobe flash player kwa ajili ya ku play video?
Habari wana JF,naombeni msaada kwa mtu aliyewai fanya manunuzi na Ebay upande wa hapa kwetu (Tz) wana charge KODI kwa kutumia vigezo gani?, na jinsi ya kupata mzigo wako inakuaje kuaje hapo...
wanajf,
jamani hapa nna flash disk ya imation ina software ya kuweka password, nilimuazima mtu atumie akaweka password, na haikumbuki sasa flash imekuwa write protected, haikubali kuweka kitu...
Wakuu,ni siku ya tatu sasa internet ya tigo inasumbua sana hapa nilipo(Moshi);imekuwa ina-disconnect mara kwa mara.Yaani hazipiti dakika 10 lazima inadisconnect,na hasa kama ninadownload kitu ndio...
Nina flashdisk aina ya KingSton ya 8 gb haifunguki kinanapojaribu kuifungua inasema "This Disk is Not Formatted. Do you want to format it?" Uki crick "yes" inaenda kisha inaleta message "Windows...
Moderm yangu ina tatizo la kuji disconect bila sababu za kueleweka.Ki ujumla inaboa coz wakati unatumia net ina ji disconect then baada ya sekunde chache inaji conect tena.
Habari zenu wakuu,nilikua ninauliza kama inawezekana kupunguza memory ya local disc(c) na kuiongezea kwenye local disc(d) yaani kwa mfano memory ya local disc(c) ni 200gb wakati ya local disc(d)...
natumia samsung shw-m240s imetoka korea. tatizo inautofauti katika text compose yaani kipimo chake ni kwa bite80. na maanisha uwezi andika text ikazidi byt80.
je naweza badilisha vipi huu mfumo...
Napofungua e meil zangu kwenye simu inaniandiki niingize Out going mail server (enter the IP address or host name of the serve that send your e mail) msaada jamani, ni Ip ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.