Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
$100 kwa kila App utakayosubmit na itapita approval process. Limit App 20 kwa developer mmoja ($2,000). Ukisubmit App 5 kwenda mbele unaingia draw ya kushinda moja kati ya BB10 Limited Dev Edition...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu kwenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kwa yeyote yule atakayeweza kunipatia betri ya dell 630 latitude iwe na uwezo angalau wa kupiga kuanzia masaa matatu na kuendelea,kwa yeyote yule ambaye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari wakuu wotee kwa pamoja.hivi hii ni teknolojia gani? au ni vifaa gani vinawezesha fm radio kusikika katika internet??? wenyewe wanaitaga "striming radio" kama sijakosea..naomba watalam...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba kujua jinsi ya kufanya installation ya OS ya Mac.......jinsi ya ku boot installation CD :israel:
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Mimi nina iPhone 3G ios 4.2.1 nahitataji kupata Free Application toka iTunes store,Namba mwenye Appl ID niitumie kupata Free Applications.naomba ani-PM nitamjali kwa pesa kidogo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu naomba mwenye keys, email na id ya iso burster 3.1 anisaidie au mwenye direct link ya kudownload full anitupie maana nimegoogle lakini keys zimegoma na full nazopata ni torrents zisizokuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
simu yangu nokia asha imedondoka na button ya internet haifanyi kazi,nisaidieni nwataalam nifanyeje,mafundi wa siku hizi hawaaminiki
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Wahusika wa ipp media na sahara tunaomba tujue ni lini mnaanza,Leteni ving'amuzi ambavyo hata watu wa kijijini watafaidi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilikuwa nafungua file moja kupitia open with - choose default program- other programs. Sasa nilipochagua Adobe reader baadhi ya short cuts kama ant virus, browser na mengine mengi yamebadilika na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Top 10 Add-ons in Google Chrome Web Browser There are a lot of add-ons(or)extensions in google chrome.We will describe about some addons which helps you to run the google chrome in very...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Nadhani wakuu wote ni wazima, leo nlikua nmeanzisha maada muhimu kama hii maana wa2 wengi wamekuwa wakipoteza data zao kama picha za camera na hivyo kuwa katika wakati mgumu, pia ofisini documents...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
jamani msaada activation za windows 8 enterprise
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani naomba mwenye namba ya simu ya fundi mzuri wa kufunga madish ya zuku anisaidie.ninalo ndani karibu wiki mbili sasa.tafadhali
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mwenye quickoffice ya s60v5 anitupie link maana hii inaniomba license .naitaji cracked.tnx
0 Reactions
3 Replies
701 Views
nisaidieni mi nina sony ericsson experia mini pro, vp naweza kuitumia km modem!
0 Reactions
27 Replies
3K Views
naomba msaada kwa mwenye uelewa wa kunisaidia kutatua tatizo la 'security code' kwenye simu ya nokia asha 300 (rm-781). kwa bahati mbaya code niliyoweka kwa sasa haikubali kufungua na sijui tatizo...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
wanaJF naitaji msaada wenu juu ya iphonz ambazo znaagzwa kutoka nje...nikiagiza je huwa zpo ambazo zko unlocked o lazma niingie gharama nyingine ya kuzi unlock huku zkfka bongo,plz need yo help cz...
0 Reactions
4 Replies
848 Views
wadau naweza kupata chart ya umabari wa barabara za Tanzania hasa kwa njia hii Korogwe (Tanga) hadi Chalinze hadi Iringa hadi Njombe hadi Ludewa. nilijaribu kugoogle nikapata flight distance na...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Leo ntatoa pindi juu ya kuchakachua baadhi ya modem ili sote tuweze kutumia line za network tofauti 1.Download hii software ShareMobile - download dccrap exe 2.chomeka line ambayo sio ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
wandungu naomba mweny utalamu wa ku-crack password za winrar anisaidie kuna file nimedowload hapa linazingua
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom