Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Almost half of the Internet users across the globe use ADSL routers/modems to connect to the Internet however, most of them are unaware of the fact that it has a serious vulnerability which can...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu, hii ni aibu sana ubuntu for phones os running on galaxy nexus kwenye ces 2013, kuwa na ubora zaidi kuliko android os ambayo ndiyo stock rom ya nexus...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
In this post I’ll show you how to hack a Software and run the trial program forever. Most of us are familiar with many softwares that run only for a specified period of time in the trial mode...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Naona kuna JF application ya blackberry ila cioni ya windows phone au hawawez kupiga code zake nn,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hapa hatuzungumzii ipad wala iphone wala ipod. Tunazungumzia ipotty poti la kwanza la touch screen. Wametengeneza hivi maana mtoto anapoteza mda kukaa kwenye poti hali ya kuwa hajifunzi kitu...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mwenye toshiba tablet aje apa bas tubadilishane maujanja ya teknolojia
0 Reactions
0 Replies
608 Views
wadau naombeni msaadaaa wenu kidogo,,,kila nikifungu mafile ktk kompyutA YANGU YAnafunguka na VLC thn yanagoma kufunguka,,,,,,sasa cjui nifanyeje hapo,,,,,,,,,,,,help me plz,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Asante kwa kunijali Nina computer yngu ina window seven sasa naitaji iwe wifi nifaneje?nilijaribu guru nkashndwa kui download ilileta fail likakataa kufunguka, Kama hapo haitowezekana nina simu...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Mwenye kujua ku-update firmware ya Airtel Huawei E153 na amewahi kuwa successful ktk hyo kitu naomba ajitokeze kuna tatizo hapa nataka nimuulize. Kubwa hyo software inashndwa kudetect datacard..
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Please can any one come to the help, I am using SAMSUNG i917 Window Phone7, I want to update my phone but unable to download and install the software plz help!!!!!
0 Reactions
1 Replies
668 Views
Tangu asbuhi nadownlod zune package af adi sasa ina 30% c mchezo jmn watasha km kna mtu ana zune setup nionee huruma mnitumie jmn,ambae anayo anitumie hapa>jaycomfaces@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
989 Views
Its great running ubuntu on an android device, actually along android os. Requirements: Rooted android device 4gb free space for full ubuntu, or 2gb for small version Install apps: busy...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu , hapo awari nilikuwa natumia simu ya NOKIA 2700classic. Lakini wiki tatu zilizo pita kuna mama nimebadilishana nae , yeye amenipa simu ya NOKIA E72 original. Sasa kwenye hii simu E72...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wadau naombeni msaada, Nimenunua moderm ya vodacom nikiweka kwenye laptop yangu inasoma mtandao kawaida nikiconnect inaonesha connected ila transfer rate 0.0, ila nikiiweka kwenye laptop...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kinaitwa ipotty n noumaa n potty la watoto na madem la kunyea la screen touch,slim ucpme
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kupata downloader ya samsung galax tab 2 gt3100.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jaman natakakujua ile software ya kuflash simu inaitwaje....naomba mnipe link download yake....please
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Wakuu heshima zenu kama iivyokawaida ya IDM kila unapostream video inakuletea ka button kaku-download,,,kwangu hiii kitu sioni kabisa na hii imetokea baada ya ku-upgrade to firefox 18 ,for yahoo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni Statistical Package for Social Sciences (SPSS) ...... mwenye nayo ani text kwa namba 0717277050 Urgent
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Source: AP-Excite WASHINGTON (AP) - The U.S. Department of Homeland Security is advising people to temporarily disable the Java software on their computers to avoid potential hacking attacks...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom