Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wakuu!! Natanguliza shukrani Nina smartphone ya HTC desire HD A9191 inatumia android version 2.3.5,tatizo lake ni kwamba cwezi kuingia kwenye applications zake nyingi nilizodownload...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rachel Crosby speaks about her BlackBerry phone the way someone might speak of an embarrassing relative. “I’m ashamed of it,” said Ms. Crosby, a Los Angeles sales representative who said she had...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
i need to activate my windows 8!! Anyone who knows how to solve this issues??
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Jana nimedownload window 8 ambayo ina ukubwa wa 2.38GB ila baada ya kumaliza kudownload nilivyojaribu hilo file halina ile icon kama ya setup na nikijaribu kufungua inaandika nichague application...
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Habari za leo wanaJF, Napenda kujua ni software zipi zinazotumika katika kucheza na vocal za wimbo. Ninaposema kucheza na vocal za wimbo namaanisha kuweka effects katika wimbo mfano auto tune ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, natumia dell vostro 1540 ilikua na linux sasa hivi nimeweka window 7 ila drivers mbili nimekosa kabisa ni ya webcam na bluetooth naombeni msaada hata wa link ambayo naweza kupata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau natafuta ps3 slime ambayo tayari iko hacked/jairbreak mwenye nayo tuwasiliane 0717924625
0 Reactions
0 Replies
858 Views
nina flash yangu, ADATA, 16GB, imegoma kusoma kwenye pc zaidi ya 3. Nimejaribu kwenda kwenye device manager nimeikuta ina error, nilipojaribu ku-update driver inasema "this device can not start...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tafadhari wapendwa naomba software mpya za dongle(HAWK 70FTA DIGITAL SATELLATE RECEIVER) and how to download.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,nina tatizo kwa yeyote anayefahamu pc yangu natumia window 7 professional tatizo ni kwamba ile option ya sleep kwenye power button haifanyi kazi yaani ukilinganisha na option...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
this week offer 1 pc left Brand NEW Dell streak 7 wifi+4g TABLET UNLOCKED ready to use ANY GSM simcard, with skype video calls enabled featuring 2.2 android UPGRADABLE. internal memory 16GB...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Heshima kwenu wadau naomba kuuliza hivi kuna software ya kudownload utube videos zaidi ya utubedownloader? Naomba kuwasilisha.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habr zenu Leo kuna mshkaji alichukua phone yangu alichokfanya ni ku erase internal memor,matokeo yake amefuta program zangu zote....kubwa kabisa ni play store! nimejaribu kuitafta kupitia web...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nauliza kama unaweza kuitumia kama modem na ni vp?,unaweza activate kwa ajil ya matumiz hayo kwenye internet
0 Reactions
6 Replies
1K Views
laptop yangu haina office proglam na nashindwa kufanya kitu chochote,naomba mnisaidie ndg kudownload vizuri maana nimejaribu inakataa
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Salaam wakuu..tukiwa tumehama kutoka analogia kwenda kwenye digital kumekua na uwepo wa vingamuzi aina mbali mbali..nimeona habari kwamba uganda wamepiga marufuku uuzwaji wa vingamuzi ya startimes...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka Notification za jf zistop kwenda kwa email addres yangu.. Mana kila nikisaini inn kwa yahoo nakuta email zaidi ya 20 toka jf plz msaada jinsi ya kuzistopisha.
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Web security Training Twiga Hosting Ltd is the ICT security training provider in Tanzania. Do you know 80% of website and web applications can be hacked? Do you know how to check if your...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu pliz msaada wa unlock code (serial) za FL Studio 10, shukrani wakuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hebu niulize leo maana sijaona badiliko lolote la ki-Digital kwa vituo vya radio, hakuna hata kituo ki1 kilichoongezeka kwenye satelite zaid ni zilezile 12 tulizokua nazo mwaka jana. na nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom