Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
View PhotoYahoo! News - The screen uses the same OLED - organic LED - technology as many current smartphones, but encased in plastic instead of glass. Samsung wowed an audience in Las Vegas...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jamii Forum nisaidieni kufanya configuration ya internet katika windows phone 6.5 samsung gt-b6520 service provider Vodacom
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Laptop yangu ina nafasi ndogo sana hasa ukizingatia specs zake inatakiwa iwe na angalau disk ya 320 Aina ya Laptop ni HP Pavilion g6 series Notebook Processor ni Intel (R) core (TM) i5 -...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu!! unafanya installation ya oracle 11g nimeshamaliza process za configuration na inaanza kucopy files ikifika katikati inaleta error ya ''Invalid stored block length'' cfaham...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
nokia 603 inauzwa, imetomika lakini bado ipo katika hali nzuri. Bei: 300,000 maelewano yapo. Kwa anayehitaji piga 0717354243 Features zake ni 5MP camera Internal memo: 2 GB (340 MB user...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Je nawezaje kutofautisha LAPTOP FAKEna ORIGINAL??.Kilichonisukuma kuuliza swali hili ni kwamba kila wakati ninapo uliza kuhusu Uzuri wa laptop kwa watu tofauti tofauti, basi wana nieleza kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
WAKUU na imani mu wazima,,ninayo hii modem yangu inazingua kusoma katika PC yngu lkn kwa PC ZA WENGINE INASOMA MWENYE UFUMBUZI ANISAIDIE MODEM NI 3.5G,,AU BASI ATAKAYE MIND ANIPIM ANAWEZA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar zenu ndugu zangu wanajamvi, naombeni msaada namna ya ku-unlock modem ya huawei ec122. Nimezunguka google wee mpaka nimechoka, naombeni mnisaidie tafadhali. Ahsanten
0 Reactions
3 Replies
989 Views
habari wanajamvi; naombeni m aelekezo jinsi ya kuunga simu hii na internet ya tigo wadau. natanguliza na shukrani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina laptop acer ilianza kama utani, kutokuingiza chaji ikafikia hatua ikazima, nimebadilisha chaji lakini hollah! Nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Nimekuwa nikitumia laptop, leo asubuhi nilipofika ofisini nikawasha kama kawaida. muda huu wa mchana nilienda lunch. Niliporudi nikiwasha haitaki kuwaka. Lakini ile taa inayoonyesha kuwa iko on...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau na mie nimeishuhudia tecno yenye os ya android....swali langu je itakuwa na ubora gani???? na inapga mzgo kweli kama android nyingine??? nawasilisha .
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello Wana JF, Wataalam Wa ICT Naomba Msaada Was Software Nayoweza Kutumia Kutengeneza Passport: Wedth 132 Pixels Urefu 185 Pixels Ukubwa wa Picha Usizidi 4KB Resolution Iwe 72 Pixels per inchi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina iyo tab ila ina suport wifi tu,na nkiweka modem inaonesha 3g ivi siwez nikafanya mautundu ikasuport modem? Imenichosha na ma wifi yake aah msaaada jaman
0 Reactions
0 Replies
666 Views
wakuu naomba msaada jinsi ya kujiunga na program ya whatsup kwenye simu yangu NOKIA N73,Inakataa.msaada plz,natanguliza shukran
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Wapendwa habari za mishughuliko? Naomba mtu atakaye nielekeza kwa lugha rahisi Minimum requirement for DHCP server .PLZZZZZZ!!!!!
0 Reactions
0 Replies
765 Views
WanaJF experts field ya Android na linux based severs, naomba masaada jinsi ya ku configure envaya sms, EnvayaSMS Msaada wako utakua appreciated na donge nono waweza pata
1 Reactions
6 Replies
2K Views
habarini wakuu. naomba kujua kama kuna alternative software ya idm kama ipo naomba link tafa dhali. maana idmm inanisumbua sana
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Hello Wana JF, Wataalam Wa ICT Naomba Msaada Was Software Nayoweza Kutumia Kutengeneza Passport: Wedth 132 Pixels Urefu 185 Pixels Ukubwa wa Picha Usizidi 4KB Resolution Iwe 72 Pixels per inchi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamaa wanaofa nzuri ya kutumia internet yao lakini ipo slow mno.Muda mwingi ni full edge,yaani inaboa mno. kwenye bei ya kununua vifurushi wapo vizuri lakini speed ndo kimeo.Badilikeni bwana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom