Features:
Unique compact design, Conveniently portable and lightweight, minimize working space, Compact size for traveling convenience, no worry about tangled cable mess.
Never run out of...
Tangu asubuh nadownlod zunepackage af ad saiv ndo 30%ni nomaa mwenye zune setup c mnisaidie tu watasha km mtu anayo anicheki hapa>jaycomfaces@gmail.com
Salamu wakuu!
Natumia device Android tablet pc. Nimenunua modem ya tigo ambayo ni compatible na pc yangu. Nimeshaunganisha modem na ile symbol ya 3G connection inaonekana ila sina hakika na APN...
Mapema mnamo mwishon mwa mwaka huliopita 2012 kumekuwapo na kubadilisha mfumo wa urushaji matangazo ya kutoka analogy kwenda mfumo mpya wa digital.mfumo hauwezi kuathiri wale watumiaawo...
Intaneti (Internet, pia: mtandao) ni mfumo wa kushirikiana kwa kompyuta unaowezesha kompyuta mbalimbali duniani kuwasiliana kati zao. Kupitia mtandao huu, watu huweza kutembelea tovuti mbalimbali...
Kama kuna mtu mwenye TV yenye Digital Tuner (DVB-T), je umefanikiwa kupata Channel za TZ bila ya kutumia king'amuzi (or whatever kinaitwa siku hizi)?
Kujua kama TV yako ina uwezo wa kupokea...
Habari zenyu binafsi.......
Wadau naomba mnijuze advantages na disadvantages za gari aina ya Toyota IST i.e. fuel consuption, services n.k.
Kuna shost angu kaniuliza sasa na mie sijui hata...
Habari,
Nimekuwa CCNA-certified tangu september mwaka huu, kuna mtu aliniambia niki-indicate sanduku la posta
kwenye particulars zangu...cheti kitatumwa kwenye sanduku la posta, nilifanya hivyo...
Guys,
Sometimes unapofungua google, unaweza ukakutana na hii message
404 not found, this is only kwa Gooogle tu while other sites zinafunguka fresh including Jamiifroums.
This is the solution...
Laptop yangu nikiiwasha tu screen yake hutikusika kwa mwanga mkari wenye mistari mpaka inabust tayari kwa kutumia ndo inaacha mtikisiko,kuanzia hapo naweza kutumia bila ya matatizo lakini lazima...
Lumia710 hai pair na cm zngne ko cwez kurusha tracks kwa blututh af niki cinnect usb hai detect xmtym driver not found xmtym succesfuly bt haipo kwen computer nisaidieni mafundi.
Heshima mbele wakubwa !!
jamani wana jamvi kwa mwenye uzoefu na hii kitu,kuna mtu kila nikimtumia email haipati yaani haiingii kwenye inbox wala sparm, account yangu ni yahoo na yeye yupo...
Nina Simu ya Huawei ascend niliyoinunua tigo ila imefanyiwa sim lock yaani ikubali line za tigo na mi nahisi nimewachoka,kwa anaefahamu njia rahisi ya kuiunlock anisaidie...,
Kumbe Vin'gamuzi vya Startimes ni kimeo? teknolojia yake kuisha tarehe 31 Desemba! China vilikataliwa, Uganda vikakataliwa, vimeletwa Tanzania nchi inayoongozwa na wababishaji!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.