Habari zenu wakuu vimmshindaje?
Naombeni mnisaidie hivi hash tag ni kwa ajili ya nini maana hii @ hutumika kwa kutag jina la memba iwe JF, FB au Twitter sasa # nayo kule twitter inatag nini...
WANAJAMVI me natumia visa kenye tembo card ya crdb,nimejiunga paypal bila tatizo ila ishu inakuja kenye kulink my card na paypal.. kuna error inatokea inanambia my billing adress doesn't match...
Watanzania tutakiona cha moto na kupanda kwa bei ya umeme. Wachina wanachakachua mita za umeme na Tanesco akijicheki mfukoni hana kitu Ndiyo maana anapandisha bei kila siku.
Microsoft sets Messenger deadline
11 January 2013 13:37
Microsoft has been steadily bringing Skype and Live Messenger closer together
Microsoft is switching off its Windows Live Messenger...
Failure in villages, failure in towns! People are mourning their TVz are useless. Decoder have become woes and promise of "land of caanan" have become Alice's "wonderland".
People are wondering...
Mimi nazipenda nna interest sana na masuala yanayohusiana na computer na nataka kwenda kusomea ila nashindwa kati ya hizo kozi hapo nikasomee ipi ambayo naweza kujiajiri/kuajiriwa kirahisi...
Naomba mnifundishe namna ya kufanya Video zangu ziweze kuplay na windowa media player as a default Browser.
Nimecomand hivyo but imekataa kuonyesha .
Nikirudisha to VLC inakubali !! But i...
Heshima mbele wakuu, Nimerud tena na laptop yangu isiyoisha matatizo. laptop yangu ni Toshiba satellite, ina window 7 ultimate, inanikosesha raha yaan, nikiifunua tu inawaka yenyewe, tatizo n nn...
hi all i am preparing ERB report to full fill requirement of ERB to be registered as professional computer engineer there fore request supervisor on this field .
im working in Dar es Salaam
my...
naombeni freq na symbol rate za Citizen, na Trenet kwny position hii ya local chnl- nilkua na Kbc
na wbs ya uganda ktk KU, sasa zimekata zaid xa mwez na signal zipo
leo hii saa 2 usiku tbc news kipindi cha biashara maofisa wa dstv wametangaza rasmi nia ya kampuni yao kuanzisha huduma ya gotv ya dvb t kama hii ya star tv yaani unakua na receiver na antenna...
Nina nokia asha 200,kila nikifungua internet inaniambia 'creating secure connection' ina load kidogo inaleta ujumbe tena "error establishing secure connection.check coverage security and date...
HOW TO GET GENUINE LICENSE KEY(FILE)
OF AVAST INTERNET SECURITY
FOLLOW THESE INSTRUCTION CAREFULLY
REGISTER
CLICK ON IMAGE TO VIEW LARGE
GO TO THE AVAST...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.