Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wajameni naombeni msaada wa jinsi ya ku unblock modem ili niwe natumia laini mbalimbali maana nataka kusafiri na huko niendako mtando ni tatizo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hehe wapenda free mpo? katikt pitapita zangu nimekutana na hii site http://www.gloobovoip.com/ wanakupa 5 min kupiga cmu dunia nzma 4 free after that utalipia ila kam unae contact anaetumia...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
mi nataka kuflash modem yangu nifanyeje,niwe natumia kwa laini zote?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pongezi kwenu!!!!saiz ni kubonya icon ya jamii forum tu kwenye android kama navyozama faceboo/twitter!!!!!!!
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba wana JF tupoeane mawazo kuhusu Artificial Intelligent programming. Mimi ningependa kushare na nyie simple javascript AI programming. Title ya hii Application tutaiita "Numerology...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
0755 046 145 ama ndiyo tuseme usajili bado unaendeleaaaaa????? Nasema hivyo kwa sababu bila ya kukosea usajili kwa sasa ina takrban miaka miwili ila ni dhahiri ya kwamba bado mapungufu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi Friends, SF is on poll to get Application of the month. I urge you to vote for wxWidgets. There are many reasons but major one being its contribution to a lot of apps we use here are some...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
wakuu nimepata tablet model number: DFP7002A android version 4.04 kernel version. Sasa mziki upo katika kuweka configuration za internet. Nikiomba za voda- wanaleta message kwamba watatuma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HELLOW GUYS,, how can i activate my windows 8, every time i log in it notifies me that windows 8 pro is not activated,,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wapi naeza pata window 8 activator..please kama kuna mtu anaYo naomba a post link ili niweze ku-unstall kwa sabäbu napata shida sana katika suala zima la internet kwenye ma laptop..natanguliza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kuuliza si ujinga. Aliesoma IT anaitwa IT, kwa aliesoma computer science anaitwaje?? Au ni ivo ivo IT??
0 Reactions
14 Replies
4K Views
simu yangu ime locked...naomba mnipatie namba za ku unlock jaman...coz nahitaji sana mawasiliano please..naomba..n NOKIA C2
0 Reactions
0 Replies
628 Views
wadau naomben msaada ni aplication gan naweza kuidownload ambayo itaniwezesha kudownload video toka youtube kwenye cm yang samsung gt s5300
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kujua kuhusu hizi simu za kisasa, kati ya Iphone 4s original na ambayo sio original! Asanteni sana.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kanafaa kwend nako likizo Unveiled - the mobile phone with a battery that lasts 15 years | 247 Nigeria News Update
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Uliwahi fahamu hii? http://en.wikipedia.org/wiki/Electronic_cigarette
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza: 1.Hivi yale madishi ya internet tunayoona ktk taasis mbalimbali za serikali na private,mtu binafsi hawezi kufunga ktk nyumba yake? 2.Je,speed ya internet yake ikoje...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, naomba Msaada wenu ni jinsi gani ninaweza kupata Microsoft office ya MacBook pro, je naweza kudownload online? Kama Inawezekana naomba mnipe link
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Wakuu naomba msaada wenu natafuta simu ya mezani iwe ya mitandao niliyotaja hapo, kwa ajili ya Dukani/Officin na inatumia chip/line ya kawaida ya cellphone, unaweza ku PM, au nipe contact zako...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu habarini,,,kama kuna mwenye sight za kupakua movie za kikwetu(kibongo) basi ashare kwa manufaa ya sisi tunaofatilia NOTE:kama una link au sight bora usiweke comment zisizo saidia na imani...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom