kuna sehemu sijui ni nimebugi,?maana kwa sasa nikiconnect,inaconnect fresh kwa pc.but inaandika "no internet access" why? Kuna solution hapa wakubwa? Natmia pc moja kwenye connection
Wadau naombeni mwenye ujanja wa jinsi ya kurudisha icons za local disc kama zilivyokua awali anisaidie. Kuna software niliiweka nilipoitoa ikabadilisha icons na kuonekana kama hapo chini...
Wadau. Kama kunamjuzi wa sala hili anisaidie niweze kuiunlock hii modem cuz nimeangaika vya kutosha bila mafanikio.naomba msaada wenu ni unlock parmenty plzzzzzz
Naitaji joiku hotspot premium coz aloweka humu bwana chief mkwawa ni light nimeidownload kwenye simu yangu ya symbian iyo light haipg kaz,naitaj premium au kama kuna aplication ingne ya kufanya...
Wadau,
Nampango wa kununua kausafiri aina ya Suzuki Kei. tafadhali mdau yeyote mwenye kuijua kwa undani zaidi km vile fuel consumption, technical weakness na ushauri mwingine kwa ujumla...
Wakubwa habari ya Boxing day.
Nina tatizo la flsha disc yangu. Sijui imekuwaje lakini haitaki kuchukua files (Ukitaka kusave) pamoja na tatizo la kufunguka. Ukitaka kusave document inakwambia...
Wakuu
Nilikua natumia modem ya Zain ile ya zamani, sasa kuanzia tarehe moja hii modem haishiki tena network. Nimejaribu kutoa line na kuweka kwenye simu line inafanya kazi. Nimejitahidi kupiga...
Leo BAKITA wameujulisha umma tafsiri sahihi ya maneno kama ifuatavyo:
Decoder............. Kisimbuzi (kusimbua -decode)
Detector........... King'amuzi (kung'amua - detect)
Kwa mujibu wa...
Wana JF,Nina simu yangu aina ya samsung omnia 8000 II.,ni windows phone. Sasa nataka kuinstall android,,kama kuna mtu anaweza kunipa msaada huo tafadhali nisaidie!
The Milky Way Is Home to 100 Billion Scary Alien Planets
Enlarge PhotoThe Milky Way Is Home to 100 Billion
A new study published in the peer-reviewed Astrophysical Journal presents...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.