Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
  • Poll Poll
This is part of the project linked below. Name Suggested in that thread are: TINGATINGA MEDIA PLAYER (TT or TMP) by chilubi Mzalendo Media Player by genius Kasuku Player by kotinkarwak...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Naombeni mnijuze hizi port kama zinapatikana Dar ,na kama zinautofauti kwa namba au zote zinafanana Nina LG flat screen yenye hiyo port,Dell n 5040 na simu tajwa hapo juu.kila kaduka ka muhindi...
0 Reactions
4 Replies
993 Views
Wakuu nisaidieni...hivi nikitaka kurecharge voucher kwenye moderm ya airtel nafanyaje? Mbona haina writing pad au sehemu ya kurecharge hata star au harsh key hazionekani kila mara nilazima nitoe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
salaam,nimepata shida na laptop yangu ya Hp pavilion dv6,nikiwasha kuna taa mbili ya Num lock na Caps lock ndio zinawaka lakini screen haiwaki inakuwa nyeusi tu.hizi caps lock na Num lock zina...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Habari wanajamii forums!! Nimea update smiu yangu NOKIA C3-00 toka V 4.‎‏ kwena V 8.7 lakini tatizo limekuaj kuwa baada ya update hiyo application nilizokuwa natumia kama OPERA MINI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeweka kifurushi cha vodacom cha siku 7,cha sh 2,500.. Nikijaribu kubrowse inaniambia"This is a Wi-Fi service. Please ensure your device has an active Wi-Fi connection and try again." Je...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma, (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, (wa 2 kushoto) leseni ya kujenga Mamlaka ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa Web camera drivers za hiyo model ya laptop
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Naomba msaada wa driver za saut pamoja na vja za dell 630
0 Reactions
2 Replies
837 Views
habari wakuu Mwenye link ya part 2 ya iyo movie anisaidie tafadhali nimeipenda sana
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Voting have been done and JPlayer is the name. Now There are issues to be dealt before coding. One of them is licence. Since all have been planned here I though I would throw it here again. What...
0 Reactions
6 Replies
963 Views
Scientists say ancient Martian rock was full of waterBy Eric Pfeiffer, Yahoo! News Reporter Posts RSS By Eric Pfeiffer, Yahoo! News | The Sideshow – Thu, Jan 3, 2013 Email Share tweet...
0 Reactions
1 Replies
724 Views
  • Closed
Scientists say ancient Martian rock was full of water By Eric Pfeiffer, Yahoo! News An examination of the Martian meteorite known as NWA 7034 determined it is 2.1 billion years old and is...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Ndugu wapendwa, katika harakati za kukimbizana na muda ili TV yangu iendelee kufanya kazi nimejikuta nimenunua king'amuzi cha TING AAL - 002 kwa bei ya 99,000/=. Kwa yeyote anayefahamu uzuri au...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Hi there, Natafuta Ruckus wireless repeater, clients waliowahi kutumia wireless internet service ya spidersat kule mwanza wanaweza kuwa na hizi device Anyone who have it, or any indoor...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
The OS which relies heavily on swipes in its UI instead of buttons...and it will run on any hardware designed for Android. Source:Engadget. http://www.youtube.com/watch?nomobile=1&v=cpWHJDLsqTU
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nifanyeje ili nitakapo taka kuandika kwenye microsoft word page iwe imelala na badala ya kuandika kwa wima niandike kwa ulalo.,
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Naitaji kupata maelekezo jinsi ya kufungua wrles network kwa window 7 na iweze ku detect mfano kwenye tablet yangu Ahsanten
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nikiwasha/nikiristat pc inaniletea message "a disk error when reading data" window seven dell help me
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Wadau, nikiwa kwenye simu yangu naingia kwenye web ya free movies kama kawaida. Lakini ili ni-download i have to right click and save link as. Sasa maujanja ya kupata "save as" sina wadau. Natumia...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Back
Top Bottom