habari waungwana na wataalamu wa masuala ya teknohama. Nimefungua blog inayo jikita zaidi kwenye masuala ya fashion zaidi link streetswaggerific.blogspot.com naombeni mnipe ushauri kwa nia ya...
Eeh bana nina mpango wa kwenda dar kununua laptop kwa mara ya kwanza in dar,kuhofia kuingizwa mkenge maeneo ya kariakoo wala msimbazi sipiti kutafuta huu mzigo. Nataka kununua brand new...
Salamu wana JF.nina TV aina ya hitachi.niliinunua mwaka 2006 mwezi september(New brand).huitumia marakwamara.lakini leo naona ile taa nyekundu inawaka kama indicator(inawaka na kuzima).kwa kawaida...
habari wana jf naomba msaada wenu natafuta hii program WiFi Password Hack v2.1_2 kama kuna yoyote anaejua jinsi ya kupatikana kwakwe anipe link nyingi zilizopo huwa zipo ktk rar na zina password...
wakubwa zangu wote shikamoni
naomba msahada wenu wahali na mali katika hili natumia NOTEBOOK aina ya ACER-"ASPIRE ONE" na tatizo langu kubwa ni kwamba ina fail kusoma usb na flash nikichomeka na...
Katika Video hii tutaangalia jinsi unavyoweza kuedit template yako ya joomla bila msuli wowote kwa kutumia Firebug. Mpaka unamaliza video hii utakuwa na uwezo wa kubadirisha chochote utakacho...
Baada ya kuzimwa mitambo ya analogia, Leo kimeeleweka nani alijipanga na nani hakujipanga, hayo yamethibitishwa kwa clouds tv ambao toka Mitambo izimwe usiku wa leo wao hawapo hewani hasa kupitia...
Ilianza na tabia ya kuganda katikati ya kazi nikabadilisha Heat sink
sasa imekuwa haitaki kufungua Window, hata ukifanya Installation
ikifika sehemu ya SET UP IS STARTING WINDOW inaganda hapo...
Kwa wale wote mlio sahau security codes za simu aina ya nokia 2 kuna website mpya yakuku saidia ku unlock it billa ku i flash unacho itaji 2 ni imei ya cm yako kama kuna m2 yuko in need nitafute...
ndungu zang kwa sisi wa mikoan nadhan toka dhaman tunatumia madish me npo morogoro dish lang la futi sita na receiver yang ni mediacom ya korea nimefunga lnb moja napata itv,eatv, star...
Wadau hivi mnajua kuwa kuna tecnlojia ya kuvuna/kunasa senene ambao ni wadudu maarufu kwa baadhi ya makabila hapa nchini? tazama technolojia hii iliyobuniwa na watu ambao hawakupita darasani bali...
waungwana mnisaidie 3 frequenc za Trenet na CloudsTv, kunawatu wanaziona FTA nimejarjb
Nimepata tv Imman tu. na zile 5 zilizosajiliwa.
Pia nilkua napata KBC1 na WBSTV ktk 'KU' niloifunga...
Mambo sio mambo kwa kituo cha runinga cha Clouds TV. Baada ya signal kuwa scrambled usiku wa kuzima mitambo ya analojia, Clouds walikomaa hivyo hivyo kwenye list ya king'amuzi cha Star Times na...
changamoto yangu ni Natumia vlc media player kwenye pc,nikiweka nyimbo kwenye flash au nikiban kwenye dvd au cd nyimbo chache ndizo zinacheza kwenye deck zingine zinaleta mesegi unsupported format...
wakuu, simu yangu ya nokia E72 inasumbua kamera. Yaani kamera haifunguki kabisa. Mafundi wa huku mtaani wameishindwa kabisa. Nataka niende K/KOO nikampe fundi. So naombeni msaada ni fundi...
Nimekiza Clouds jana na leo kuhusu kukamatwa kwa mtoto wa kufikia wa Rais mstaafu wa Zanzibar.
Wadau tushushieni hiyo tecnoljia aliyoitumia jamaa mpaka kumnasa mwizi.
Wakuu kuanzia leo napata messege hii kwenye PC yangu
" Ask for genuine Microsoft Software "
" You may be a victim of software counterfeiting. This copy of windows did not pass genuine windows...
NEWS ANALYSIS: Microsoft didnt have the best 2012. And many of its troubles can be attributed to several products both it released and others that competitors introduced...
nimefungua moja kati ya program kwa kutumia shortcut iliyo kwenye desktop kwa prog--open with--then nikachagua 1 kati ya program zangu..
Baada ya hapo kila program kwenye pc inarecomend kufunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.