NEWS ANALYSIS: Microsoft didnt have the best 2012. And many of its troubles can be attributed to several products both it released and others that competitors introduced...
TUNALALAMIKA VIN'GAMUZI BEI IKO JUU MBONA TUNAZUNGUSHA ROUND ZA POMBE/BIA ZA 40,000 TSH TUNAPOKUWA BAR?
wabongo tunapenda kulia ukata,subiri kichapo chake pale mbongo anapozipata,ni mwendo wa kiti...
Jamani peruzi peruzi mtandaoni nimekaona haka ka galaxy S DUOS S 7562 ki ukweli nimekapenda
sasa mwenye uzoefu kanauzwa sh ngapi kwa hapa bongo pia ubora wake kwa matumizi ya kawawaida mfano...
Wakuu hii modem tangu niinunue inaninyima raha kwasababu kila nikiweka inakaa kama sekunde kumi hivi inakata network! Nikadhani labda tatizo ni network ya eneo nililopo inasumbua lakini nikaazima...
habari wanajukwaa,
Swali langu ni kama linavyojieleza hapo juu,je kuna umuhimu wa kufanya windows update? na je kuna faida ya kufanya hivyo? na nini hasara au manufaa atakayokosa kwa asiyefanya...
TCRA tunaomba mliangalie hili tuweze kupata our Free-to-Air channels on DStv, Zuku, etc Decoders. Kwa nini niwe na decoder mbili Makamba angalia hili bana .
jamani wakali wa hii digitali na analogia hom natumia dishi kuchek habar na huu mpango wa digitali umeua kabiasa xaxa ni lazima ununue king'amuzi au kuna ving'amuzi special vya madishi...?
Habr zenu wakuu
naomba msaada jinsi ya assmbly mthrboard vt gani vya kuzngatia au kama kuna link mnaweza kunisaidia, it is a report naandaa.
Mungu awabariki
Nina kama saa nzima hapa mbele ya king'amuzi changu cha startime niangalie taarifa ya habari,nilichokikuta ni aibu.hakuna hata chanel moja ya bongo inayofanya kaz ni mwendo wa citizen,bbc...
Habari ,nlikuwa nahitaji kudownload adobe flash player kwenye simu yangu ya htc window 8x na imekuwa ikinisumbua sana nashindwa hata kuona baadhi video ata bbc i player kwani ni mara ya kwanza...
Msaada wakuu juzi nilinunua Blackberry 9630 kutoka kwa mmoja wa marafiki zangu lakini kuna matatizo kadhaa yanayonifanya nianze kuzichukia hizi simu
1. nimeinganisha kwenye pc na usb cable ili...
Tech trends for 2013: Five things to watch By Nilay Patel, Special to CNN
January 2, 2013 -- Updated 1757 GMT (0157 HKT)
Nilay Patel asks whether Apple will be able to get its mojo...
nimeunga ttcl broadband ila nashindwa kushare computer zangu,nina komputer nne nataka niwe naweza kushare files za computer moja hadi nyingine.pia nikiweka program za time watcher au cafezee kwa...
A smartphone and tablet said to be the first designed by an African company have beenlaunched.
The products, designed by Congolese entrepreneur Verone Mankou, are manufactured in China.
His...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.