If the sun looks a little larger than usual today, you're not seeing things. Today (Jan. 2) marks the time when the Earth is at perihelion, the point in its orbit at which it is closest to the...
wadau,leo naamka, nawasha tv sipati channel hata moja,kigamuzi ninacho lakini salio limeisha, mi nilijua kama una kigamuzi hata kama hujalipia unaweza pata local channel.tafadhali naomba maoni...
Samahani naomba kuuliza kidogo kuhusu New Technology ya digital. Eti na wale wenye simu zenye TV watatakiwa kununua king'amuzi? Kuuliza sio ujinga jamani.
Habari
wana Tech, Gadget nilikuwa naomba msaada wa jinsi ya kutumia Simu yangu niitumie kama modem kwenye Laptop!
So naomba maelekezo ya jinsi ya kuiunganisha!
Ninatumia smartphone na ninapenda kujaribu apps nyingi iwezekanavyo. Kwa sasa hivi natumia Whatsapp kwa kutuma msgs kwa wale wenye hiyo. Hata hivyo napenda kujaribu apps zingine vilevile. kuna hii...
The popular site and application for cracked iOS apps has been shut down abruptly for unkown reasons taking its cydia source and instalous along with it.
My phone is Samsung Galaxy model SGH-i917; Software is Windows Phone 7. Can anyone come to the help as I'm unable to use locally,neither playing U-tube it prompts me for installation of software.
Habari wana jf!
Model ya simu ni Huawei u8185,inagoma kupiga simu but napokea kama kawaida,internet iko poa na kutuma sms. Pia kuna muda inakuwa inazima na kujiwasha yenyewe,naomba msaada wenu plz
Heri ya mwaka mpya wand TGS Forum.
Wajuzi wa haya mambo naomba msaada.
Nimekuwa nataabika sana karibia mwezi sasa, nikifungua website ya Jamiiforums, haifunguki na inanipa error 118, inabidi...
Ndugu wana JF salamu.
nimepata tatizo la kuinstall software ya printer aina ya hp laser jet P2015 kwenye window 7, na tatizo lenyewe ni kwamba inagoma kutokana na kuwa hii software imetengenezwa...
Tunaona ushabiki wetu juu ya badiliko ya utangazaji kutoka analogia kuwa digitali,ndiyo lakini watu watanzania tulio wengi hatupo kidigitali ,na ata serikali yenyewe aiendeshi mambo yake...
Hatimaye kampuni ya Zuku TV imeongeza local nyingne ie.Cloud Tv na kufanya idadi ya chn za Tanzania kufikia 3 baada ya TBC,Chnl10..nadhan hawa jamaa wanaongoza kuwa local chnl nyingi zinazopatkana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.