Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nilikuwa na install whatsapp baada ya kudownload ikanikomand nireboot cm bt after that imekuwa inaanza kuwaka ikifika asilimia flani kabla kumaliza zen iwake inazima zen inaanza upya tena tangu...
0 Reactions
4 Replies
986 Views
Kwanza nitangulia kuomba samahani kwa sababu nina hakika jibu la msaada ninaotaka kuomba hapa lipo tayari mahali ndani humu. Bahati mbaya ni kuwa ka-bundle kangu hakaniruhusu kupekua sana hivyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu ndugu zangu. Kwa muda sasa nakubwa na changamoto ya kufungua Application kadhaa. Huwa na-download na ku-install (ambazo ni sahihi kulingana na maelezo ya watengenezaji) kama...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau japo mwaka mpya haijafika si vibaya kuwa wish new year mapema kwa watakaofika kupitia hii picha ya photoshop
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu tafadhalini naomba msaada wenu wa ku unlock modem ya Airtel ZTE HSUPA Model: MF 190, IMEI 866840016760615. Niliweka line Vodacom ikatokea sms inasema-Your Device IMEI Code is...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu nahitaji mwenye microsoft office 2007 mwenye nayo plzz anisaidie, au kama unalink ninayoweza kudownload naomba unisaidie, nataka niistal katika kidesktop changu. Tafadhali naomba mwenye...
0 Reactions
6 Replies
863 Views
Wakuu ni kwenye vyuo vipi au taasisi zipi hapa Tanzania wanatumia Weather Research and Forecasting (WRF) model ukiacha Tanzania Meteorological Agency (TMA)? Kidogo kuhusu hii model, inapart...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Please mwenye Kifaa cha E3 Flasher, Progskeet au Teensy ++ anisaidie niweze kudowngrade my ps3 because jailbreak available ni ya 3.55 only
0 Reactions
0 Replies
913 Views
mwenye cracker au full version ya hiyo software naomba
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo asubuhi rafikizangu wa kijijini wameniambia kua Tanzania inaingia vita na Malawi2013 ndiyo maana serikali ina himiza haraka watu waingie kwenye Digital ili wale wenye uwezo mdogo wasijue mambo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hiyo simu nashindwa kuangalia video online za youtube,nikijaribu kuwatch video inanipa neno unsupported file,naomba kama kuna maujanja yoyote mnisaidie wakuu nipate uondo,tupo wengi wenye hili tatizo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wakuu laptop yangu nashindwa kuitumia kwa raha kutokana na kua ipo slow kiutendaji na hii sijui inasababishwa na nini kwamfano nikitaka kufungua program, video nk inachukua kuload. mara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kuinstall gmail iliniweze kutumia play store kwan nkitaka kuitumia wanadai account ya gmail Nankitaka kudownload wananipa messeage yakuitaji gmail account
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Naomba mwenye ufahamu juu ya hizo keys anijuze jamani nina shida nazo sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moderm yangu ya tGO nli ichakachua,nshaitumia zaidi ya miaka miwili,ila jana imegoma haisomi chochote hata kuonyesha kama imewekwa,hv moderm nazo zinakufa!kama kuna mwenye ujuzi anijuze tafadhali
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani mimi natamani kuona technology inanisaidia katika hili ila mimi mwenyewe kama vile imeniacha, nisaidieni wataalam, ni blog ya fashion.
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Nahitaji Elimu zaidi Juu ya Network hizi Mbili (EDGE na 3G).
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Natafuta replacement battery ya laptop aina ya Acer Aspire One. Wapi mjini Dar naweza kupata?
0 Reactions
4 Replies
981 Views
Wakuu nimeibiwa blackberry yangu bold 9780....bahati mbaya mwizi ameswitch of GPS...nimejaribu kutumia blackberry protect website kuitrack inagoma kwa kuwa gps iko off....je kuna namna nyingine...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hellow guys,!! hizi decoda za zuku, startimes na ting zinaningua saana, i want to abando them, can any one tell me!! dstv wana free channel ngapi? gharama yao ya kawaida (minimum) ni ipi na ina...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom