Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wanajukwaa, naomba msaada au kueleweshwa,nilimeuziwa kwa bahati mbaya simu ya galaxy s3 demo unit badala ya mobile phone,inafanya kazi kila kitu kasoro kuwa na slot za chip ambazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
4g lte mobile broadband now available in tanzania, while some european countries are still waiting
0 Reactions
32 Replies
3K Views
We are heading the end of the year and its time for evaluation. I would like to share my experience as software developer what I see as the best of this year. I'm not sure how much I'm going to...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimekuwa mteja wa star times kwa muda sasa lakini wamechosha na wamekosa ubunifu. wamefikia hata kubadili chanels kwenye vifurushi bila kutoa taarifa. mwenye tetesi au taarifa za king'amuzi cha...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wakuu! Kuna hii program inaitwa SNIFF sijui kazi yake ni ipi hasa mwenye kujua naomba anijuze!! Shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana wa matechnology hodiiii. Naomba kupata elimu toka kwenu japo kwa uchache katika vitu hivii. 1. web 2.blog 3.page 4.logo
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Habar JF, Nilikuwa naomba kw yeyote mwenye uwezo huu wa kuweza kulogin kwnye pc kama mtu amesahau password au kama pc haikutumika kw muda mrefu na mwenyewe kusahau password.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Page last updated at 15:58 GMT+03:00, Friday, 28 December 2012 China tightens rules on internet Hundreds of millions of people in China use the internet, although its content is closely...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Naomba msaada wa kuweza ku download whatsapp bila kupitia itunes store wakuu?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kila nkiwasha computer yangu baada tu ya kuDisplay desktop icons napata hii msg "APC PBE Agent Failed to start APC PBE agent service. Time out 90 seconds. Service start operation canceled"...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu habar zenu. Kompyuta yang [laptop] inawaka then baada ya muda inazima ghafla. Mwenye ujuz anisaidie kuondokana na tatizo hili. Ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
923 Views
Wapendwa wana JF, kutokana na kuongezeka kwa mabandiko yenye vichwa vya habari vibovu (msaada, msaada haraka, kwa anayejua, n.k) nimeonelea kuwe na kampeni maalum. Mtua akiandika bandiko kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
et hz ndo worst pasword wanazotumia many userz hasa kwenye mitandao..... # Password --- Change from 2011 1 password _____________ Unchanged 2 123456 _______________...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
nina chip yang ya zantel nimejiunga na huduma ya epiqnation nikajarib kuichomeka kwenye modem ya zantel ambayo imeisha bundle but imegoma kufungua website inaniambia nirecharge msaada wanajamvi
0 Reactions
4 Replies
806 Views
natumia Samsung chat G2222"duos kila nikiingia facebook sioni sehemu ya kuchati..! naomba msaada ili niweze kuona sehemu hiyo ya kuchat na marafiki!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeupdate Application World. Then baada ya Hapo sijaiona tena . Nimeenda kwnye All Applications nikaifuta na Kuinstall upya but Problem ikabaki palepale. Mwenye uelewa na hili plzz naomba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wadau naulizia motherboard socket LGA 1155 na bei zake hapa Dar na mahali zipatikanapo natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
635 Views
narudi tena kuomba prox znazofanya kaz kwa wale tlozoea ku share plz nipen tafu wakuu wangu
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji link yenye Video zenye obora "HD" na Urahisi wa Kudownload kwa simu za "Smrtphone".
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nahitaji mwenye microsoft office 2007 mwenye nayo plzz anisaidie, au kama unalink ninayoweza kudownload naomba unisaidie, nataka niistal katika kidesktop changu. Tafadhali naomba mwenye...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom