Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari za x-mass wanajukwaa? nilikuwa naomba msaada kidogo hapa,,kama kuna mtu kafika mtaa wa msimbazi karibu na round about kariakooo,,dar,atakuwa ameona simu za samsung,nokia,htc, n.k mfano...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni jinsi ya ku-connect computa mbali na zikaonana na ukazitumia kwa mouse moja.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hbri wakuu, pc yangu nkiweka cd mara nyngne inasoma wakt mwngne haisomi, cjajua tatzo n nn, wengne wanadai processor/ lens imekufa, msaada jaman
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Habarizenu wana JF, hivi hii maneno ni kweli? How does it work?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
What do JC Penney, Mitsubishi Motors and Martha Stewart Living magazine all have in common? Each has earned a spot on the list of brands that will likely disappear in 2013. Financial news site...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ntaweza vp kuinstall hiyo ktu kataka tablet??? maaba ktk store ya android haipo pale
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa juu ya sim box (type, model, price), uwezo wa wake na upatikanaji wake.
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Heshima kwenu wana jf, jamani mie ni mwanakjiji nisiejua kitu orignal au feki, lkn nahitaji cm nzuri yenye os ya android, sijui duka gani mwanza au dar nitapata cm hiyo nisingependa nilanguliwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari.Vlc PLayer yangu jamani inasumbua kuplay inaniandikia VLC crashed pale tuu ninapotaka kuplay Music au video lakini Kipindi cha nyuma ilikuwa Okey kabisa Nimejaribu kuitoa na kuweka tena...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Naomba msaada wapi naweza kupata smart camera yenye 1.-zoom kuanzia 14x 2. Megapixel kuanzia 14 mimi nipo dsm pia naomba na bei zake .nashukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu?naombeni msaada kwa anayefahamu,nina smart phone aina ya apple nimei format coz memory yake ilikua inasumbua cha ajabu sasa hivi nikiwasha inaweka alama ya apple tu lakini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jf Naombeni Mnisaidie Kwa Hili Hivi Kuna Uwezekano Wa Kudownload Operamin Katika Blackberry Za Kichina Na Ikafanya Kazi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nsaidieni juu ya hilo please ndugu zangu....nisije ingia mkenge
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tufananishe bei za Mobile Data za Tanzania na AT&T Marekani AT&T za data ni kama ifuatavyo Kwa smartphones: AT&T Data Plus 300MB: $20 for 300MB (31,600/=) AT&T Data Pro 3GB: $30 for 3GB...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
naomba mnisaidie hii tablet ntaitumiaje especially nkiwa sehemu ambayo haina wireless manq nmeletewa na haina hiyo sehemu...ina sehemu ya memory card ndogo tu. .
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwa anaejua dlink router nahiatji msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uzuri wa Simu hii + Bei ni rahisi mno + Ina vipimo (specs) vya hali ya juu + Imetoka na Toleo jipya na Android - Jelly Bean 4.2 + Ina chaja isiyo na waya (wireless charging) + Ina skrini yenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba mwenye kuwa na licence key ya hayper research. Natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
0 Replies
703 Views
kwa anayefahamu cha kufanya naomba aniambie nini nifanye ili modem yangu (huawei, E 1550)ifanye kazi tena maana haionekani tena kwenye komputa siku chache baada ya kui unlock.Asante.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom