Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu naombeni msaada kuhusu hili swaala,,,,hivi hakuna ujanja wakufanya laini yoyote ya zantel kuweza kununua vifurushi vyao,,,,maana nilipiga customer caree wakanambia lazima uwe na special...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
iPad yangu toka nimeizima haitaki kuwaka tena., toka nilipo izima ilinichukua week 2 kuja ku iwasha, kila nikiwasha haiwaki. Nikiweka charger haineshi kitu. Mwenye wazo au ushauri anisaidie
0 Reactions
21 Replies
2K Views
wakuu heshima kwenu,simu yangu nokia e63 imegoma kufungua sms zote zinazoingia(inbox) pia hata nikiataka kuandika sms mpya nikiclick ile sehemu ya new sms inarudi kwenye home page! Tafadhalini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
simu yangu ni Samsung galax model number ni 15800. Tatizo ninapotaka kuangalia baadhi ya ninaambiwa lazima iwe na frash player na nikijaribu kuidownload naambiwa 'sory your device does not...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Africa Has More Mobile Phones than U.S.: In fact, the continent has more mobile phones than all of North America and Europe. Asia is the only place in the world with more mobile phones than...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Today i am learning you how can update windows os without internet connection . This works for all windows OS (Window 7/Vista/XP). i hope you really enjoy it . Follow The Below steps For Do...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
poleni na mihangaiko ya hapa na pale wakuu, naomba kujua kama naweza pata laptop aina ya dell Vostro model yeyote hapa bongo, hata used maana madukani nilizitafuta sikuzipata kabisa! Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wadau, Naomba kujuzwa jinsi ya ku-unlock BLACKBERRY 8310 ya O2 na software yake inapatikana vipi au wapi. Haijawahi kutumika Tanzania ilikuwa inatumia simcard ya O2 Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye crack/patch za Office 2013 Professional Plus ama mbinu ya kuifanya iwe activated naomba anisaidie.
-2 Reactions
32 Replies
6K Views
Wakuu, Kuna dada ananiambia kuwa mchumba wake alimwomba simu, akaifanyia kitu/utundu fulani, matokeo yake huyo jamaa amekuwa anapata nakala ya msg zote zinazotumwa kwa huyu dada. Ninachotaka...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Niko Mwanza, kuna mtu yuko dar nahitaji nimuhagize anichukulie.Ila yeye hajui maduka yanayouza blower, sa naomba mlioko dar mnisaidie hayo maduka.Na je ni blower ipi nzuri ya digital...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inspired by Posts in this thread I though I would get experiencing. To stimulate it I would like to put few things I've found on net HT elmagnifico chief-mkwawa C6 Good Guy Ndetchia...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Assume you have uploaded some documents on the internet and now you dont want them to be available on search engines such as Google etc, how to go about???
0 Reactions
3 Replies
833 Views
wakuu naomba msaada wenu iphoni yangu ilikuwa instuck na haifanyi chochote zaidi ya kupiga na kupokea tu, nikaamua ku delete all contents" then ikawa haiwaki bali inaishia ku display logo ya...
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Hii home theatre nikiiwasha display ERROR80 then inazima , wanajf naombeni jinsi ya kutatua hili tatizo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kutumia Sumsung GTS5603 kama internet connector ila napata ujumbe huu "RasGetEntryProperties sizing failed error 771" Tatizo litakuwa ni nini wadau? Naomba msaada.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbali na JF Yawe Madogo Madogo mfano Simu,kompyuta,furniture n.k Nataka zinisaidie ktk kazi yangu ya udalali! PLZ JAMANI NISAIDIENI!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nikibonyeza shutdown ya window 8 inazima.Lakini nikinyanyua kioo cha laptop computer inawaka yenyewe.Je hii maneno ni normal kwenye win 8 au mambo hayajakaa sawa.Manake Power button ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tafadhali wana jf naombeni mnieleweshe maana ya led siries4, 5 na kadhalika na vilevile napenda kujua tofauti kuu iliyopo kati ya led na lcd tv hasa katika matumizi yake. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jaman mada hapo juu nina modem hizi nahitaji kuzifungua ntumie mitandao yote nimejaribu kutuma firmware updater but inaaza ikifika kati inagoma msaada plz
1 Reactions
2 Replies
718 Views
Back
Top Bottom