Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari za leo, kuna laptop HP dv6 nauza specification zake ni kama ifuatavyo INTEL CORE i5, HD 600GB, RAM 8GB, PROCESSOR 2.4 tuwasiliane kwa simu namba 0654 755757
0 Reactions
6 Replies
829 Views
Wadau naomba kujuzwa ni mtandao gani ni rahisi zaidi kwa maana ya charges kupiga simu nje hasa nchi za Uk na Us,mini ni mtu ninaejaribu kuanza kujihusisha na vijibiashara toka nchi hizo mbili,sasa...
0 Reactions
19 Replies
38K Views
Boiling water turns to snow in SiberiaBy Mike Krumboltz | The Sideshow – 12 hrs ago Email Share tweet Share12 Print Baby, it's cold outside. And to prove it, we offer up this video shot...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Jamani kuna mwenye ujuzi wa hili?
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Cm yangu ni N2700.ss nikitaka kudownload whatsapp inadownload ila kwenye kuchagua file inaandika not supported
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari zenu wana jamii wenzangu,nahitaji msaada iPhone yangu imekata sauti ghafla...yan nikiplay mziki au video ile volume bar inapotea so sauti haitoki lakini ukichomeka earphone sauti inasikika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nna game la PES (pro evolution soccer 2010) ila limekataa kujiinstall kwenye win 8 linanipa sms kwamba computer yangu haina d3dx9_30.dll sasa sijui jinsi ya kuipata naombeni msaada nimegoogle ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta nokia ya n72 au73 mpya ya kunua wapi nitapata na bei gani? Mwenye nayo tafadhali
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Jamani naomba kueleweshwa mimi nilinunulia wazee umeme wa luku wa sh. 10000 nikashangaa kupewa umeme wa sh. 300 na hela nyingine kama sh 9700 wakakata wakidai ni TIMEBASED je hii ni nini naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Samsung Galaxy S2 The Galaxy brand has restored our faith in Samsung's ability to make great phones, and with Google's Android OS and some impressive touchscreen technology, the S2 continues...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
nisaidieni jamani nitapata tablet kwa bei gani?? hizi zenye 8gb zinaendaje....nataka ya bei nafuu
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Heshima kwenu! naomba kujua kuna simu za samsung ambazo zinakamata internet bila matatizo zenye bei chini ya 200,000?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wonders in Space: #2 NASA - Yahoo! News
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Potentially Habitable Planet Detected Around Nearby StarBy Mike Wall | SPACE.com – Wed, Dec 19, 2012 Email Share tweet Share4 Print Related Content Enlarge PhotoArtist's impression of...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Ndugu wana JF haswa jukwaa hili, ikumbukwe kuwa hapo awali nilitoa sample moja ya JF wallpapers...kwa muda nilikua kimya ila sasa nimeweza kuongeza nyingine kama 4 au 5 hivi ikiwemo moja ya...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
It requires patience. I dual booted Windows 7 and Snow leopard successfully. OK so here goes: Download link I booted from disc, installed, and many time i got "you have to restart your pc.."...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba msaada wa kupata downloader yoyote itakayo niwezesha download mivies and series.....nili download u torrent ikaniomba keys naomba mwenye keys au iliyokuwa hacked anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua kama inawezekana kutumia internet ya tigo kwenye blackberry bila kujiunga na vifurushi vya blackberry!?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hey guys! hope you will enjoying the the browsing experience and every one will interested in finding some thing new. Today I will show you that how you can map dot.tkdomain with Blogger.com ...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana jamvi naomba msaada wa kupata u torrent downloader iliyokuwa hacked.napata tabu sana napota ku download movie series kwa idm napata vipande tu vya 5minutes.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom