Natanguliza shukurani za dhati wakuu.Naomba mwenye key ya Internet download manager (IDM) anisaidie,au kama anayo version ya IDM yenye key aiweke hapa niishushe au anitumie kupitia...
Used iPhone 4 in Mint Condition FACTORY UNLOCKED going cheap
@ 550,000 TSh + USB Cable
for more info contact
+255 658 822 224
or email: djrahim08@gmail.com
WAKUU HABARI ZAJIONI,
NAOMBA MSAADA WENU LEO JIONI NIMENUNUA KA TABLET KANAITWA SEL tab kanauzwa na kampuni ya ktz inaitwa SAPANA ELECTRONIC LTD. Naona wanamatawi, moshi, dar, mbeya, zanzibar...
Hizi radio zinadanganya watu kwamba wanafanya migration kutoka mfumo wa analogue kwenda Digital.
Sio kweli ni uwongo na ubabaishaji tu. Kinachofanyika ni kupanga upya masafa (frequencies)...
Wadau,nimepata simu (pichani) inayoitwa O2 window phone kutoka UK* lakini baadhi ya matumizi yake ymamenishda hsa issue ya kujua status za calls na kusave majina: wajuzi naomba mjuzi wa hizi simu...
wazito natumain ni wazima, ni muda mrefu sasa nmekuwa nikifanya window shopping ebay bila kufanikiwa kununua hata bidhaa moja. Najua tu kutakuwa kuna watu ambao wana uzoef na haya mambo. Well...
Wakuu mimi nina HP Compaq610 juzi nikiwa field nimejaribu kuitoa katika umeme inazimika kiwango cha umeme katika betrii ni 37% nasas ujazo hauongezeki na nikitoa plug inazima sasa sijui nini...
wadau changamkie hizi software mapema
For mac computers:MacXDVD Christmas Giveaway - MacX Video Converter Pro and MacX iPhone Video Pack expires very soon
For Windows:2012 Christmas and New Year...
WAKUU HABARI ZAJIONI,
NAOMBA MSAADA WENU LEO JIONI NIMENUNUA KA TABLET KANAITWA SEL tab kanauzwa na kampuni ya ktz inaitwa SAPANA ELECTRONIC LTD. Naona wanamatawi, moshi, dar, mbeya, zanzibar...
Wakuu naombeni msaada wapi nitapata TECNO T1 kwa urahisi nikiwa dar.Mimi ninayo niliinunua nikiwa ZAMBIA.Kwa muda huu niko moro ila nina rafiki yangu yuko dar na anahitaji sana hii simu.Amejaribu...
Mitandao mingi ilizungumzia tarehe hiyo kuwa ni mwisho wa dunia. Tumekuwa tukihofishwa sana na hawa wanasayansi ndiyo mpaka wenzetu huko uganda walichomwa moto ndani ya kanisa enzi za Y2K. Kama ni...
Waungwana habari za leo, katika zile juhudi zetu za Photoshop leo nimeonelea niwape wallpaper yenye theme ya ki-JF...naamini mtaipenda na mtaitumia kwenye computer zenu.
Resolution: 1920 x 1200 in...
Wanajamvi naomba kujuzwa bando ya internent ya voda bila kikomo(10,000 siku 7) unaweza kusurf na kudownload movie upendavyo au wana limitation/ maana nyinge.sababu haya makampuni ya simu mda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.